Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kenya na ubovu wa upinzani, Katiba na tatizo la usalama

Tangu wiki iliyopita, Bunge la Kenya limeendelea kujadili muswada wa mabadiliko ya Sheria (Security Laws Amendment Bill 2014) ambao ulitarajiwa kuleta mabadiliko makubwa katika mustakabali mzima wa usalama wa nchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI AVALIA NJUGA TATIZO LA UBOVU BARABARA WILAYANI KWAKE

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ndugu Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar Es Salaam.

BOFYA HAPA KUSOMA TAARIFA YAKE

 

10 years ago

Tanzania Daima

Lissu achambua ubovu wa Katiba

MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lisu, ameendelea kuiponda Katiba iliyopendekezwa akidai kuwa ni ya kisanii na haijawahi kutokea duniani. Akituhubia maelfu ya wananchi waliofurika kwenye viwanja...

 

11 years ago

BBCSwahili

Upinzani washinikiza serikali Kenya

Usalama umeimarishwa nchini Kenya huku upinzani ukijiandaa kwa mkutano mkubwa wa kisiasa kushinikiza serikali

 

11 years ago

BBCSwahili

Upinzani wadai mageuzi Kenya

Maelfu wa wafuasi wa upinzani wamekusanyika katika bustani ya Uhuru Park mjini Nairobi kudai mageuzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Upinzani DRC: katiba imepinduliwa

Upinzani katika Jamhuri ya Demokrasi ya Congo wasema mswada uliopitishwa na bunge ni mapinduzi ya katiba

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani wavalia sare za wanafunzi Kenya

Viongozi wa upinzani nchini Kenya wamevalia mavazi yanayofanana na sare za wanafunzi wakiitaka serikali kulipa walimu nyongeza ya mishahara.

 

11 years ago

BBCSwahili

Upinzani wapendekeza Kura ya maoni Kenya

Wafuasi wa upinzani walikusanyika katika mji mkuu Nairobi kulalamikia maswala ambayo wanasema serikali imepuuza kuyatekeleza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Upinzani wasusa kikao bunge la katiba TZ

Wajumbe wa upinzani katika Bunge Maalum la Rasimu ya Katiba Mpya Tanzania wamesusia kikao kwa madai ya kupuuzwa

 

10 years ago

Mwananchi

Upinzani walia na Sh21 bilioni za Bunge la Katiba

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imelia na matumizi mabaya ya Sh21 bilioni zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya wajumbe waliosusa Bunge Maalumu la Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani