Kenya yashinda taji la voliboli Afrika
Kenya iliishinda Algeria seti 3-0 katika mechi ya fainali na kuibuka mshindi wa mashindano ya voliboli ya kombe la mataifa ya Afrika kwa wanawake katika ukumbi wa Kasarani, jijini Nairobi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 Jul
Voliboli:Kenya yashinda dhahabu Grand Prix
Timu ya Kenya ya voliboli ya wanawake ndio mabingwa wa mwaka huu wa mashindano ya Grand Prix.
10 years ago
BBCSwahili15 Jun
Kenya ni kidedea katika Voliboli Afrika
Kenya imesajili ushindi wa pili katika mashindano ya kuwania ubingwa wa Afrika miongoni mwa wanawake
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Golden State Warriors yashinda taji
Timu ya Golden State Warriors ndio washindi wa ligi ya mpira wa vikapu nchini Marekani katika kipindi cha miaka 40,baada ya kuishinda Cleveland Cavaliers 105-97
10 years ago
BBCSwahili18 Mar
Al Ahly ni mabingwa wa Afrika wa Voliboli
Al Ahly ilishinda bingwa mtetezi Esperance ya Tunisia seti 3-1 katika mechi ya fainali ya mashindano ya voliboli ya klabu bingwa Afrika
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Voliboli :wanawake Kenya vinara
Timu ya wanawake ya Voliboli nchini Kenya yawiki michuano ya All Africa Games
10 years ago
BBCSwahili19 Jun
Kenya, Algeria kucheza fainali Voliboli
Timu za wanawake za Kenya na Algeria zitapambana katika mchezo wa fainali Jumamosi
10 years ago
BBCSwahili06 Jul
Voliboli:Kenya yafuzu kwa nusu fainali
Kenya imefuzu kwa nusu fainali ya mchuano wa voliboli ya wanawake ya Grand Prix baada ya kuwanyamazisha Algeria seti 3-2 kwao
9 years ago
BBCSwahili31 Dec
Uingereza yashinda Afrika Kusini kriketi
Uingereza imepata ushindi wa wiketi sita kwa mikimbio 38 pekee siku ya tano ya mechi ya kimataifa na kukamilisha ushindi wa mikimbio 241 dhidi ya Afrika Kusini.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania