Al Ahly ni mabingwa wa Afrika wa Voliboli
Al Ahly ilishinda bingwa mtetezi Esperance ya Tunisia seti 3-1 katika mechi ya fainali ya mashindano ya voliboli ya klabu bingwa Afrika
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili21 Jun
Kenya yashinda taji la voliboli Afrika
Kenya iliishinda Algeria seti 3-0 katika mechi ya fainali na kuibuka mshindi wa mashindano ya voliboli ya kombe la mataifa ya Afrika kwa wanawake katika ukumbi wa Kasarani, jijini Nairobi.
10 years ago
BBCSwahili15 Jun
Kenya ni kidedea katika Voliboli Afrika
Kenya imesajili ushindi wa pili katika mashindano ya kuwania ubingwa wa Afrika miongoni mwa wanawake
10 years ago
Mwananchi13 Feb
KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA: Yanga kutumia mbinu za Al-Ahly
>Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amesema kikosi chake kipo tayari kwa vita na kuahidi kucheza soka la kushambulia muda wote dhidi ya BDF XI ya Botswana.
9 years ago
BBCSwahili09 Nov
Tp Mazembe mabingwa wa Afrika
Klabu ya soka ya TP Mazembe, ya Jamuhuri ya Kidemocrasia ya Congo imeutwaa ubingwa wa klabu bingwa barani Afrika.
9 years ago
Habarileo01 Dec
Etoile mabingwa Shirikisho Afrika
TIMU ya Tunisia ya Etoile Du Sahel juzi iliifunga Orlando Pirates 1-0 ya Afrika Kusini katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho na kutwaa taji hilo kwa ushindi wa jumla ya mabao 2-1.
10 years ago
BBCSwahili09 Feb
Ivory Coast mabingwa wa Afrika
Ivory Coast imenyakuwa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015.
10 years ago
BBCSwahili12 Oct
Sudan yawaibisha mabingwa wa Afrika
Mabingwa wa afrika katika mchezo wa Soka Nigeria walifungwa bao moja na Sudan katika mechi ya kufuzu kwa dimba la bara Afrika.
9 years ago
BBCSwahili31 Aug
Nigeria mabingwa wa Afrika mchezo wa vikapu
Nigeria imeishinda Angola 74-65 katika fainali ya mashindano ya Afrobasket na kujinyakulia taji la kwanza kwenye mashindano hayo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania