Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sudan yawaibisha mabingwa wa Afrika

Mabingwa wa afrika katika mchezo wa Soka Nigeria walifungwa bao moja na Sudan katika mechi ya kufuzu kwa dimba la bara Afrika.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

AZAM FC YAIBAMIZA EL MERREIKH YA SUDAN 2-0 KOMBE LA MABINGWA AFRIKA

Kikosi cha El Merreikh Kikosi cha Azam leoMshambuliaji wa El Merreikh Babeker Bakri (kulia) akimtoka beki wa Azam Aggrey MorrisJohn Bocco akishangilia bao la pili la Azam

 

9 years ago

BBCSwahili

Tp Mazembe mabingwa wa Afrika

Klabu ya soka ya TP Mazembe, ya Jamuhuri ya Kidemocrasia ya Congo imeutwaa ubingwa wa klabu bingwa barani Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Al Ahly ni mabingwa wa Afrika wa Voliboli

Al Ahly ilishinda bingwa mtetezi Esperance ya Tunisia seti 3-1 katika mechi ya fainali ya mashindano ya voliboli ya klabu bingwa Afrika

 

9 years ago

Habarileo

Etoile mabingwa Shirikisho Afrika

TIMU ya Tunisia ya Etoile Du Sahel juzi iliifunga Orlando Pirates 1-0 ya Afrika Kusini katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho na kutwaa taji hilo kwa ushindi wa jumla ya mabao 2-1.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ivory Coast mabingwa wa Afrika

Ivory Coast imenyakuwa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015.

 

9 years ago

BBCSwahili

Nigeria mabingwa wa Afrika mchezo wa vikapu

Nigeria imeishinda Angola 74-65 katika fainali ya mashindano ya Afrobasket na kujinyakulia taji la kwanza kwenye mashindano hayo

 

9 years ago

BBCSwahili

Telkom Kenya ndio mabingwa wa Afrika wa magongo

Timu ya Telkom ya Kenya na Eastern Company ya Misri zimetwaa ubingwa katika mashindano ya magongo ya klabu bingwa Afrika yaliyomalizika leo hii mjini Lusaka, Zambia.

 

11 years ago

Michuzi

NABAKI AFRIKA MABINGWA VIFAA VYA UJENZI

20140806_050949Meneja wa kampuni ya Nabaki Afrika tawi la Arusha Jesse S. Madauda akiongea na wateja waliotembelea katika  banda lao viwanja vya nane nane jijini Arusha.20140806_051639Hii ni Plumbing System ni kwaajili ya mfumo wa maji taka na safi na sifa yake kuu nikwamba huwezi kuona chemba zile za nje na haizibi20140806_050615Vigae vya kuezeka (Decra Roofing Tiles )sifa yake kuu ni havipauki ,havipati kutu na havipukutiki na guarantee yake miaka 50
Kampuni ya Nabaki Afrika ni kampuni pekee isiyo na mshindani katika ubora wa ...

 

9 years ago

Dewji Blog

TP Mazembe yatwaa kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika

MAZEMBE+PX

Mshambuliaji Mtanzania wa Klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DRC, Thomas Ulimwengu (kushoto) na mchezaji mwenzake raia wa Ghana, Solomon Asante (kiungo wa kati) wakishangilia baada ya kufunga timu ya USM Alger ya nchini Algeria.

Kombe la mshindi wa ligi ya mabingwa Afrika ambalo TP Mazembe wamelitwaa 2015

Kombe la mshindi wa ligi ya mabingwa Afrika ambalo TP Mazembe wamelitwaa 2015.

Na Rabbi Hume

Klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DRC imetwaa kombe la ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya kuifunga timu ya USM Alger ya nchini Algeria kwa goli mbili (2) kwa bila...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani