Tp Mazembe mabingwa wa Afrika
Klabu ya soka ya TP Mazembe, ya Jamuhuri ya Kidemocrasia ya Congo imeutwaa ubingwa wa klabu bingwa barani Afrika.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
TP Mazembe yatwaa kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika
Mshambuliaji Mtanzania wa Klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DRC, Thomas Ulimwengu (kushoto) na mchezaji mwenzake raia wa Ghana, Solomon Asante (kiungo wa kati) wakishangilia baada ya kufunga timu ya USM Alger ya nchini Algeria.
Kombe la mshindi wa ligi ya mabingwa Afrika ambalo TP Mazembe wamelitwaa 2015.
Na Rabbi Hume
Klabu ya TP Mazembe ya nchini Congo DRC imetwaa kombe la ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya kuifunga timu ya USM Alger ya nchini Algeria kwa goli mbili (2) kwa bila...
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
TP Mazembe nje Klabu Bingwa Afrika
9 years ago
Habarileo14 Sep
Samata aipiga 3, aivusha Mazembe Afrika
MSHAMBULIAJI nyota wa Tanzania, Mbwana Samata juzi alifunga mabao matatu kuiwezesha TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kuingia nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Mbwana Samatta aipeleka Mazembe fainali Afrika
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MABAO mawili yaliyopachikwa na mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta, yalichangia ushindi wa 3-0 na kuipeleka Klabu ya TP Mazembe kwenye fainali ya Klabu Bingwa Afrika.
TP Mazembe ikicheza kwenye uwanja wake wa nyumbani jijini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, iliifunga El Merreikh ya Sudan katika mchezo wa pili wa nusu fainali iliyochezwa jana.
Katika mchezo wa kwanza uliochezwa jijini Khartoum, TP Mazembe ililala 2-1 huku bao...
9 years ago
BBCSwahili02 Nov
TP Mazembe 2-1 USM Alger klabu bingwa Afrika
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/lyH8li5tDqs/default.jpg)
TP Mazembe yanyakuwa ubingwa wa Afrika kwa mara ya tano
Wafanyabiashara mkoani arusha wakumbushwa kuzingatia usafi ili kuepuka magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu; https://youtu.be/cyySdQKD4T0Wachimba wadogo wadogo mkoani kagera waitaka serikali kuangalia upya sheria ya madini namba 14 ya mwaka 2010 ambayo ni ki kikwazo kwao; https://youtu.be/kleNi6hYUiUHofu ya uchaguzi mkuu nchini Imetajwa kusababisha kupungua kuja kwa watalii wa nje...
9 years ago
Bongo509 Nov
Samatta awa mfungaji bora, TP Mazembe yachukua ubingwa wa Afrika
![Mbwana](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Mbwana-300x194.jpg)
Klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imechukua kombe la michuano ya mabingwa wa Afrika baada ya kuifunga mabao 2-0 USM Alger ya Algeria kwenye fainali zilizochezwa jana mjini Lubumbashi.
Samatta alifunga bao moja kwenye mechi hiyo na kufikisha mabao saba yaliyomfanya kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo.
Samatta aliyezaliwa Januari 7, 1992 anacheza kama mshambuliaji kwenye klabu hiyo yenye makazi yake mjini Lubumbashi.
Mchezaji huyo anajulikana kutokana na magoli saba...
9 years ago
Bongo505 Oct
Mbwana Samatta aipeleka TP Mazembe fainali ya klabu bingwa barani Afrika
10 years ago
BBCSwahili09 Feb
Ivory Coast mabingwa wa Afrika