Kenyatta afurahia kuachiwa huru
RAIS Uhuru Kenyatta ameelezea kufurahishwa na uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC), kutupilia mbali kesi ya jinai iliyokuwa ikimkabili, baada ya Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama hiyo, Fatou Bensouda kuondoa mashitaka dhidi ya Rais huyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili02 Jul
Ghadhabu baada ya wauaji kuachiwa huru
Makundi ya wanawake Afghanistan yamelaani hatua ya mahakama kuwaachilia waliomuua Farkhunda
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Uhuru Kenyatta: Mazungumzo na Marekani hayataathiri makubaliano ya biashara huru Afrika
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na mwenyeji wake Donald Trump wa Marekani wamekutana na kuratibu majadiliano ya mkataba wa biashara huru kati ya mataifa hayo mawili.
9 years ago
GPLJK AKUTANA NA UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA MZEE JOMO KENYATTA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo...
11 years ago
Mwananchi01 Jul
HURU: Washtakiwa Kesi ya Tabata Dampo huru
>Aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa Ilala, John Lubuva na wenzake wanne waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara, wameibuka kidedea katika kesi hiyo.
9 years ago
GPLRAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA MZEE JOMO KENYATTA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo Jumatatu October 5, 2015 alipokwenda kwa mapokezi rasmi ya ziara yake pamoja na mazungumzo na hatimaye kuaga. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Samson Mwathete katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Nairobi leo...
9 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA, AZURU KABURI LA BABA WA TAIFA LA KENYA HAYATI MZEE JOMO KENYATTA
Serikali ya Kenya na watu wake wameelezea shukrani zake kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa urafiki na ushirikiano thabiti aliouonyesha kwa watu wa Kenya katika kipindi cha miaka 10 ya uongozi wake. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema hayo tarehe 5 Oktoba, 2015 katika Ikulu ya Nairobi wakati wa mazungumzo ya kiserikali. "I thank you, and on behalf of People of Kenya for your friendship and Cooperation that was reflected during your 10 years as President" Rais Kenyatta amemueleza Rais Kikwete...
9 years ago
GPLOSCAR PISTORIUS KUACHIWA IJUMAA
Mwanariadha Oscar Pistorius. Oscar Pistorius akiwa na mpenzi wake Reeva Steenkamp. Oscar Pistorius akiwa mahakamani wakati wa kesi yake. Mwanariadha mahiri wa nchini Afrika Kusini, Oscar Pistorius anatarajiwa kuachiwa Ijumaa hii baada ya kuonyesha tabia nzuri akiwa gerezani. Pistorius alihukumiwa kifungo cha…
11 years ago
BBCSwahili07 Apr
Wataka waandishi wa aljazeera kuachiwa
Mashirika ya habari duniani yashinikiza kuachiliwa huru kwa waandishi wa al-Jazeera nchini Misri
10 years ago
Michuzi“NIPO STUDIO” YA JENNIFER MGENDI KUACHIWA
Mtayarishaji wa filamu na mwimbaji wa siku nyingi Jennifer Mgendi anakusudia kuachia filamu yake ya “Nipo Studio” mapema wiki hii. Akiongea na blogu hii Jennifer amesema filamu hiyo imekamilika kwa kila kitu na itaingia sokoni wiki hii ikiwa imewashirikisha wasanii mbalimbali akiwamo shosti wake wa siku nyingi Bahati Bukuku, Bibi Esta, Hassan Mbangwa, Gwamaka Kametta na wengine wengi.
Jennifer amesema filamu hii inazungumzia changamoto mbalimbali anazokutana nazo Bibi Esta pale anapokuwa na...
Jennifer amesema filamu hii inazungumzia changamoto mbalimbali anazokutana nazo Bibi Esta pale anapokuwa na...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania