Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kerry na Putin kujadiliana kuhusu Syria

Waziri wa mashauri ya kigeni wa Marekani John Kerry yumo nchini Moscow kwa mashauriano na Rais Vladimir Putin kuhusu njia za kumaliza vita Syria.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Putin azungumza na Rouhani kuhusu Syria

Rais Vladmir Putin wa Urusi amefanya mazungumzo na Rais wa Iran, Hassan Rouhani kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran na mkutano wa kimataifa wa amani wa Geneva 2.

 

9 years ago

BBCSwahili

Putin atetea mashambulio ya Urusi Syria

Vladimir Putin amesema lengo la mashambulio ya ndege za Urusi nchini Syria ni kusaidia utawala halali wa Rais Assad.

 

9 years ago

BBCSwahili

Putin aagiza majeshi yakabili tishio Syria

Rais wa Urusi Vladimir Putin ameagiza wanajeshi wa Urusi kuchukua “hatua kali” dhidi ya hatari zozote zinazojitokeza Syria.

 

9 years ago

BBCSwahili

Putin azuru Iran kujadili hatma ya Syria

Rais Putin anazuru Tehran kwa mazungumzo na kiongozi wa Iran kuhusiana na mapigano yanayoendelea nchini Syria.

 

9 years ago

TheCitizen

Putin: Russian forces show impressive results in Syria, hundreds of terrorists killed

The Russian military forces have achieved impressive results in Syria, Russian President Vladimir Putin told a meeting of the Council of CIS Heads of State on Friday.

 

9 years ago

Michuzi

Kuweka Umeme Afrika: Mkutano kufanyika Tanzania kujadiliana kuhusu mageuzi katika sekta ya kawi Nchini


 Mkutano wa kila mwaka wa Kuwezeka umeme Afrika: Kongamano la Uwekezaji la Tanzania litafanyika Hyatt Regency Dar es Saalam, Hoteli ya Kilimanjaro kuanzia 3-4 Desemba 2015 
Mkutano ule utalenga siku za usoni za sekta ya kawi ya Tanzania kufuatia uchaguzi wa hivi majuzi, kutambua nafasi za uwekezaji na kubuni maushurikiano  muhimu kati ya wahusika kutoka sekta ya kibinafsi na ya umma. 

Dhibitisho za hivi karibuni za January Makamba, Mbunge wa Bumbuli, Tanzania, waakilishi kutoka...

 

10 years ago

BBCSwahili

John Kerry aionya Iran kuhusu Yemen

John Kerry ameionya Iran dhidi ya hatua yake ya kuwaunga mkono wapiganaji wa Houthi wanaopambana na serikali ya Yemen.

 

10 years ago

StarTV

John Kerry aionya Iran kuhusu mgogoro Yemen

Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani John Kerry ameionya Iran dhidi ya hatua yake ya kuwaunga mkono wapiganaji wa Houthi wanaopambana na serikali ya Yemen.

Katika mahojiano ya Televisheni, John Kerry amesema Marekani itaiunga mkono nchi yoyote mashariki ya Kati itakayotishiwa na Iran.

Iran na Marekani

Jana Iran ilituma meli mbili za kivita katika bandari ya Aden kuwaunga mkono waasi, ambao wanapambana kuudhibiti mji huo.

Marekani inaunga mkono muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudia...

 

9 years ago

Michuzi

Tamko la Waziri wa Mambo ya Nje John Kerry kuhusu Uchaguzi wa Tanzania

Ubalozi wa Marekani

 Dar es Salaam

TANZANIA

5 Novemba, 2015

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Kwa niaba ya Rais Obama na watu wa Marekani, nawapongeza watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uchaguzi wa rais na wabunge ulioendelea kuthibitisha rekodi nzuri ya Tanzania katika kujenga demokrasia imara.Wakati Rais John Pombe Joseph Magufuli na serikali yake wakichukua majukumu yao, tunatarajia kuendelea na ubia wetu wa karibu na kuimarisha zaidi ushirikiano baina ya nchi zetu mbili tunapofanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani