Putin aagiza majeshi yakabili tishio Syria
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameagiza wanajeshi wa Urusi kuchukua “hatua kali†dhidi ya hatari zozote zinazojitokeza Syria.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 May
Putin ataka Ukraine kuonda majeshi
Rais wa Urusi, Vladmir Putin, ametoa wito kwa Ukraine iyaondoe majeshi yake Kusini Mashariki mwa taifa hilo.
11 years ago
BBCSwahili19 May
Putin aamauru majeshi kuondoka mpakani
Rais wa Urusi Vladimir Putin amewaamuru askari jeshi walioko karibu na mpaka wa Ukraine kuondoka katika maeneo ya Rostov, Belgorod na Bryansk
9 years ago
BBCSwahili12 Nov
Putin aagiza madai ya dawa yachunguzwe
Putin ameagiza uchunguzi ufanywe kuhusiana na madai kwamba wanariadha nchini Urusi wamekuwa wakitumia dawa za kusisimua misuli.
9 years ago
BBCSwahili15 Dec
Kerry na Putin kujadiliana kuhusu Syria
Waziri wa mashauri ya kigeni wa Marekani John Kerry yumo nchini Moscow kwa mashauriano na Rais Vladimir Putin kuhusu njia za kumaliza vita Syria.
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Putin atetea mashambulio ya Urusi Syria
Vladimir Putin amesema lengo la mashambulio ya ndege za Urusi nchini Syria ni kusaidia utawala halali wa Rais Assad.
11 years ago
Mwananchi11 Jan
Putin azungumza na Rouhani kuhusu Syria
Rais Vladmir Putin wa Urusi amefanya mazungumzo na Rais wa Iran, Hassan Rouhani kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran na mkutano wa kimataifa wa amani wa Geneva 2.
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Putin azuru Iran kujadili hatma ya Syria
Rais Putin anazuru Tehran kwa mazungumzo na kiongozi wa Iran kuhusiana na mapigano yanayoendelea nchini Syria.
10 years ago
BBCSwahili05 Jul
Majeshi ya muungano yashambulia IS Syria
Ushirikiano unaoongozwa na Marekani, unasema kuwa umefanya mashambulio makubwa ya ndege dhidi ya shina la wapiganaji wa Islamic State, katika mji wa Raqqa, wa Syria.
9 years ago
BBCSwahili05 Nov
Majeshi ya upinzani yateka eneo Syria
Wizara ya ulinzi ya Marekani imesema kwamba wanajeshi wa upinzani waliounda kundi lao hivi karibuni nchini Syria,wamefanikiwa kutwaa eneo lenye ukubwa
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania