Putin aamauru majeshi kuondoka mpakani
Rais wa Urusi Vladimir Putin amewaamuru askari jeshi walioko karibu na mpaka wa Ukraine kuondoka katika maeneo ya Rostov, Belgorod na Bryansk
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 May
Putin ataka Ukraine kuonda majeshi
Rais wa Urusi, Vladmir Putin, ametoa wito kwa Ukraine iyaondoe majeshi yake Kusini Mashariki mwa taifa hilo.
9 years ago
BBCSwahili11 Dec
Putin aagiza majeshi yakabili tishio Syria
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameagiza wanajeshi wa Urusi kuchukua “hatua kali†dhidi ya hatari zozote zinazojitokeza Syria.
5 years ago
BBCSwahili25 Jun
Vladimir Putin: Kura itakayomuwezesha Putin kuwa madarakani miaka 36
Kwa miaka 20 Vladimir Putin amekuwa Rais au Waziri mkuu wa Urusi, lakini je ataendelea kuwa madarakani au la?
10 years ago
BBCSwahili16 Sep
10 years ago
Mwananchi13 Dec
Silaha za kivita zauzwa mpakani
Wakati Serikali ikihaha kukabiliana na ujangili na uhalifu mwingine wa kutumia silaha ukiwamo ujambazi unaotokea maeneo mbalimbali, imebainika kuwa silaha za kivita zimeendelea kupenyezwa na kuuzwa nchini kutoka nchi jirani.
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Wamisri waua wasudan 5 mpakani
Maafisa wa mpakani wa Misri wamewauwa wahamiaji 5 wa Sudan na kuwajerihi wengine 6 .
11 years ago
BBCSwahili13 Aug
Msaada wa Urusi waelekea mpakani.
Msafara wa misaada kutoka Urusi unaelekea kwenye kivukio cha mpaka wa Ukraine
11 years ago
BBCSwahili20 Jul
Walinzi 20 wa mpakani wauawa Misri
Maafisa nchini Misri wanasema kuwa takriban walinzi 20 wa mpakani wameuawa katika shambulizi la kizuizi huko libya.
10 years ago
BBCSwahili08 Jan
Misri yadumisha ulinzi mpakani
Jeshi nchini misri linaripotiwa kuanza kutekeleza mpango wa kupanua eneo lake lenye ulinzi mkali kwenye mpaka kati ya nchi hiyo na ukanda wa Gaza.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania