KESI YA MIRATHI YA MALI ZA MWANDISHI WA HABARI MKONGWE NCHINI YAUNGURUMA JIJINI ARUSHA
![](http://2.bp.blogspot.com/-XX35osqgFYk/VZLR4s1JFJI/AAAAAAAHl6s/IcgchIyer4M/s72-c/unnamed%2B%252820%2529.jpg)
KESI ya kugombea mirathi ya mwandishi wa habari mkongwe nchini marehemu Betty Luzuka (pichani) imeibua mapya mahakamani mara baada ya ushahidi wa njia ya video kumuonyesha mke wa aliyekuwa ofisa mwandamizi wa jumuiya ya Afrika Mashariki ,Phil Makini Kleruu aitwaye Hilda Kleruu akichukua fedha za marehemu kabla na baada ya marehemu kuaga dunia.
Hilda, ambaye amefunguliwa kesi na kaka wa marehemu, Ssarongo Luzuka akimtuhumu kujimilikisha mali za marehemu bila kufuata utaratibu wa kifamilia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog30 Jul
Mahakama yatupilia mbali pingamizi katika kesi ya mirathi ya Mwandishi wa habari mkongwe nchini
Pichani ni mwandishi wa habari mkongwe nchini marehemu, Betty Luzuka enzi za uhai wake.
Aliyekuwa Ofisa mwandamizi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Phil Kleruu.
Na Mwandishi wetu, Arusha
Mahakama ya mwanzo ya Maromboso imetupilia mbali kesi ya pingamizi iliyofunguliwa na mke wa aliyekuwa ofisa mwandamizi wa jumuiya ya Afrika Mashariki,Phil Kleruu aitwaye Hilda Kleruu kwa madai kwamba siyo mwaminifu na hivyo amekosa sifa ya kuwa msimamizi wa mirathi ya mwandishi wa habari mkongwe nchini...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-eAwvFvJxicU/XnzS7dtYIpI/AAAAAAALlNs/FoUk9XQXi7MN6WYsBqq8_KedWrdYRQQPgCLcBGAsYHQ/s72-c/d6af6ff5-9761-4a3e-a38b-5f3b36bd93e0.jpg)
MAMIA YA WAOMBOLEZAJIÂ JIJINI DAR WAJITOKEZA KATIKA MAZISHI YA MWANDISHI MKONGWE WA HABARI ZA MICHEZO NCHINI ASHA MUHAJIÂ
MAMIA ya waombolezaji wakiwemo waandishi wa habari wa kada mbalimbali na wanamichezo wamejitokeza law wingi katika mazishi ya aliyekuwa Mwandishi wa habari nguli za michezo Asha Muhaji(50) ambaye amezikwa katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni jijini Dar es Salaam.
Katika mazishi ya marehemu Asha ,viongozi wa vitabu mbalimbali na wadau wa soka wameeleza kuwa kifo chake kimeacha pengo kubwa kubwa katika tasnia ya Michezo na sekta ya habari hasa za Michezo...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-u7y6v6WMEvI/VmEvhIpZFuI/AAAAAAAAmw4/NPAePFu1KwA/s72-c/SI_20151204_091154.jpg)
Mwandishi Mkongwe wa Habari za Michezo nchini Willie Chiwango afariki dunia.
![](http://1.bp.blogspot.com/-u7y6v6WMEvI/VmEvhIpZFuI/AAAAAAAAmw4/NPAePFu1KwA/s640/SI_20151204_091154.jpg)
Taarifa kutoka mtoto wa marehemu, Stephen Chiwango (61), zinasema mauti ya limfika baba yao jana saa 5:30 usiku katika hospitali ya Masana iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam alikokua amelazwa kwa matibabu na alikua akisumbuliwa na matatizo ya kichwa.Alisema kuwa mauti yalimkuta katika hospitalini hapo akifanyiwa vipimo zaidi ili kujua tatizo la mwandishi huyo ambaye chombo chake cha mwisho kukifanyia kazi ni Tanzania Standard Newspapers (TSN) akiwa ni Mhariri...
10 years ago
Vijimambo![](http://lh4.ggpht.com/-8ob7pCOKg3Q/VPnSJj1Md3I/AAAAAAABnUI/33QGDIbarS0/s72-c/IMG-20150306-WA0048.jpg)
Mwandishi wa Habari Zanzibar, Ali Saleh Achukua Fomu leo kugombea Ubunge Mji Mkongwe Zanzibar
![](http://lh4.ggpht.com/-8ob7pCOKg3Q/VPnSJj1Md3I/AAAAAAABnUI/33QGDIbarS0/s640/IMG-20150306-WA0048.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-XF1RVb4mZpY/VPn63aZbg6I/AAAAAAABnXc/mb1zalBP6i0/s640/IMG-20150306-WA0004.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-XjsGQW0giaU/VPn631GDyPI/AAAAAAABnXo/Dd7irLdPTAk/s640/IMG-20150306-WA0005.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-KPgx2NphJ7E/VPn637RQrgI/AAAAAAABnXg/6TPraAXjWEA/s640/IMG-20150306-WA0006.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-vP285XvMGkU/VCTn79Fgc5I/AAAAAAAAhsU/GM5hA__n5z8/s72-c/kubenea.jpg)
Mahakama Yatoa Hukumu Kesi iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Saed Kubenea
![](http://4.bp.blogspot.com/-vP285XvMGkU/VCTn79Fgc5I/AAAAAAAAhsU/GM5hA__n5z8/s1600/kubenea.jpg)
11 years ago
Michuzi02 Jul
10 years ago
Michuzi04 Sep
Naibu Mwanasheria Mkuu amewasilisha Mahakamani pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea
NAIBU Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju, leo amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya kesi ya kuhoji mamlaka ya Bunge la Katiba linaloendelea mjini Dodoma iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Said Kubenea dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kwamba maombi hayo ni batili kisheria na hayawezi kuthibitishwa mahakamani, hivyo yatupiliwe mbali.
Masaju amewasilisha pingamizi hilo akitoa sababu nne, akiitaka mahakama kutupilia mbali maombi yaliyopo...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-FoXM2FnK_zQ/VYKNZpH4D4I/AAAAAAAHg0U/csDQYrhM8p0/s72-c/IMG-20150618-WA0000%2B%25281%2529%2B%25281%2529.jpg)
MWANDISHI WA HABARI MWANDAMIZI WA SHIRIKA LA UTANGAZAJI NCHINI TBC FLORENCY DYAULI AMEFARIKI DUNIA LEO
![](http://3.bp.blogspot.com/-FoXM2FnK_zQ/VYKNZpH4D4I/AAAAAAAHg0U/csDQYrhM8p0/s320/IMG-20150618-WA0000%2B%25281%2529%2B%25281%2529.jpg)
FRORENCE DYAULI amefariki dunia majira ya saa kumi alfajiri akiwa amelazwa katika hospitali ya RABININSIA MEMORIAL jijini Dar es Salaam, ambako alikuwa akipata matibabu.
Dyauli alizaliwa tarehe 27 mwezi wa saba mwaka 1961 na amefariki dunia tarehe 18/06/2015.Marehemu DYAULI alisoma shule ya msingi CHANG’OMBE mwaka 1968 hadi...
10 years ago
VijimamboWAANDISHI WA HABARI WATEMBELEA MIRADI YA UZALISHAJI MALI YA JESHI LA MAGEREZA MKOANI ARUSHA NA KILIMANJARO