Kesi ya Morsi kuwatorosha wafungwa
Aliyekuwa rais wa Misri Mohammed Morsi anatarajiwa kufikishwa mahakamani kwa shitaka la kupanga njama ya kuwatorosha wafungwa wakati wa mapinduzi ya Hosni Mubarak
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili08 Jan
Kesi ya Morsi kuendelea Misri
Vikosi vya usalama vimeimarisha ulinzi katika mji mkuu wa Misri, Cairo , kabla ya kufikishwa mahakamani kwa rais aliyeng'olewa madarakani , Mohammed Morsi.
11 years ago
BBCSwahili16 Feb
Kesi ya Mohammed Morsi Kusikizwa hii leo
Aliyekuwa rais wa Misri Mohammed Mosri atafika katika mahakama moja mjini Cairo ili kusikiza inayomkabili
10 years ago
Mwananchi27 Feb
Ushahidi upande wa mashtaka kesi ya Ponda wafungwa
Upande wa mashtaka katika kesi ya jinai inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda, umefunga ushahidi wao baada ya kupeleka mashahidi tisa.Shahidi wa mwisho wa upande wa mashtaka askari E.9295 D/CPL, Juma Koroto kutoka Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai(RCO), Morogoro ambaye alikuwa mpelelezi wa kesi hiyo.
11 years ago
BBCSwahili01 Mar
10 years ago
GPLMORSI JELA MIAKA 20
 Aliyekuwa Rais wa Misri, Mohammed Mosri amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani kwa kuwachochoea wafuasi wa kundi la Muslim Brotherhood kuwaua waandamanaji wa upinzani alipokuwa madarakani mwaka 2012.
10 years ago
GPLHUKUMU YA MORSI LEO
Mohammed Morsi. MAHAKAMA nchini Misri inatarajia kutoa hukumu kwenye kesi kadhaa zinazomkabili rais wa zamani, Mohammed Morsi ambaye aliondolewa madarakani na jeshi mwaka 2013. Mosri anakabiliwa na kesi pamoja na viongozi wengine wa Kundi la Muslim Brotherhood kwa kuwachochea wafuasi kumuua mwandishi wa habari na waandamanaji wa upinzani wakati wa makabiliano nje ya ikulu ya rais mwaka 2012. Mawakili wanaomtetea Mosri wanasema...
10 years ago
BBCEgypt's Morsi jailed for 20 years
Egypt's former President Mohammed Morsi gets a 20 year jail sentence over the killing of protesters in 2012, the first verdict in several trials he is facing.
11 years ago
BBCSwahili05 Feb
Morsi kufika mahakamani Misri
Mohammed Morsi anashatakiwa kwa kosa la mauaji na kuchochea mauaji ya waandamanaji waliopinga uongozi wake.
10 years ago
BBCSwahili21 Apr
Morsi ahukumiwa miaka 20 gerezani
Habari za hivi punde zinasema kuwa aliyekuwa rais wa Misri Mohammed Mosri amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania