Kesi zenye mvuto kuwa laivu kwenye TV
MAHAKAMA inaangalia uwezekano wa kuruhusu vyombo vya habari kurekodi picha na sauti kuwezesha vituo vya radio na televisheni kuripoti habari za mahakama wakati kesi zinaendelea.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo08 Jan
DAVIDO WAPEANA MAKAVU LAIVU LAIVU KWENYE MITANDAO
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/01/Davido-ttt.jpg)
11 years ago
BBCSwahili03 Apr
Condom zenye mvuto kwa vijana A. Kusini
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-81reXyAxctU/VWlPHQBZrcI/AAAAAAAAutg/I-7KCucLsQk/s400/uji.jpg?width=600)
JE, UNAPENDA KUWA MREMBO NA MWENYE MVUTO KWA HARAKA?
10 years ago
Mwananchi02 Nov
Unafahamu kuwa ‘high heels’ inaweza kuongeza mvuto wako
9 years ago
Mtanzania23 Nov
Natasha: Majina ya Kiingereza kwenye filamu yana mvuto
MWIGIZAJI wa siku nyingi nchini, Susan Humba ‘Natasha’, amesema wazalishaji wa filamu wengi wa Tanzania walikuwa wakitumia majina ya Kiingereza kwenye filamu zao kwa madai kwamba huvutia yanapotamkwa tofauti na ya Kiswahili.
“Wazalishaji wa filamu hizo walikuwa wakidai kwamba majina hayo huvutia kutamkwa mfano ‘My love’, inavuta na inatamkika vema kuliko ‘Mpenzi wangu’.
Hata hivyo, alieleza kwamba miaka ya sasa wengi wamebadilisha hulka hiyo na kutumia majina ya Kiswahili yenye maana husika...
10 years ago
Bongo522 Jan
Rihanna ashinda kesi dhidi ya duka la Uingereza lililokuwa likiuza T-shirt zenye picha yake
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hlqj74NT58U/VZFC3dr_CbI/AAAAAAAHllI/e32gFevTI_A/s72-c/images.jpg)
DK. ALI MOHAMED SHEIN AMESEMA KUWA KENYA NA TANZANIA NI NCHI ZENYE UHUSIANO WA MUDA MREFU
![](http://1.bp.blogspot.com/-hlqj74NT58U/VZFC3dr_CbI/AAAAAAAHllI/e32gFevTI_A/s1600/images.jpg)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Kenya na Tanzania ni nchi zenye uhusiano wa muda mrefu hivyo kuna kila sababu za kuendelea kuimarisha na kuitekeleza Sera ya Demokrasia ya Uchumi kwa manufaa ya pande mbili hizo.
Dk. Shein...
9 years ago
StarTV03 Dec
Wafanyabiashara wadogo Afrika Mashariki watakiwa kuongeza uzalishaji zenye bidhaa zenye ubora
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amewataka wafanyabiashara wadogo wadogo wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kukidhi soko la kimataifa la bidhaa hizo.
Rais Magufuli amesema endapo bidhaa zenye ubora zitazalishwa ndani ya Nchi hizo ,malalamiko ya mara kwa mara ya wafanyabiashara hao kuhusu masoko yatafikia ukomo kutokana na kuwa na wateja wengi kutoka nchi mbalimbali Duniani.
Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Said Meck...