Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Natasha: Majina ya Kiingereza kwenye filamu yana mvuto

NatashaMWIGIZAJI wa siku nyingi nchini, Susan Humba ‘Natasha’, amesema wazalishaji wa filamu wengi wa Tanzania walikuwa wakitumia majina ya Kiingereza kwenye filamu zao kwa madai kwamba huvutia yanapotamkwa tofauti na ya Kiswahili.

“Wazalishaji wa filamu hizo walikuwa wakidai kwamba majina hayo huvutia kutamkwa mfano ‘My love’, inavuta na inatamkika vema kuliko ‘Mpenzi wangu’.

Hata hivyo, alieleza kwamba miaka ya sasa wengi wamebadilisha hulka hiyo na kutumia majina ya Kiswahili yenye maana husika...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Natasha Atoa Wito Kwa Makampuni ya Filamu Kufanya Kazi na Watoto Hawa

Staa wa Bongo Movies, Susan Humba ‘Natasha’ amewataka wenye makampuni ya uandaaji wa filamu za bongo kuwatumia watoto wenye vipaji ambao wana ulemavu wa viungo.

Natasha alitoa kauli hiyo kwa watoto hao wenye ulemavu wa viungo wanaosoma Shule ya Sekondari Jangwani, jijini Dar es Salaam, baada ya kuonyesha uwezo wao wa kuigiza mbele yake.

Wanafunzi hao walionesha vipaji vyao mwishoni mwa wiki iliyopita, wakati wa uzinduzi wa shirika lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundation (SVF),...

 

10 years ago

Mwananchi

Filamu zenye tafsiri ya Kiingereza kibovu zinatudhalilisha

Mimi napenda uigizaji; uwe katika filamu, vichekesho, maigizo n.k. kama vimetengenezwa katika kiwango kinachoridhisha huwa napenda kuangalia bila kujali igizo hilo limetengenezwa na wasanii wa nchi gani.

 

10 years ago

Vijimambo

NATASHA SHAYROSE WIMBO WAKE MWINGINE HUU HAPA JIPAKULIE NATASHA MTANZANIA YUPO NORWAY


http://www.soundcloud.com/natashashyrosehttp://www.myspace.com/blackrose52http://www.oddisbold.comhttp://natasha-shyrose.blogspot.no. Ukitaka kujua zaidi kuhusu na Natasha tembelea kwenye hizo link na utakudundua kipaji chake siyo cha kubahatisha.

 

11 years ago

GPL

NATASHA: USTAA KWENYE NDOA NI TATIZO

Stori: Gladness Mallya NENO! Mwigizaji wa kitambo Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ amewataka wasanii wenzake kuachana na tabia ya kuingiza ustaa kwenye ndoa, jambo ambalo linasababisha kuwa na sifa mbaya ya kutodumu kwenye ndoa. Mwigizaji wa kitambo Bongo, Suzan Lewis ‘Natasha’ akiwa na mwanaye ,'Monalisa'. Akichonga na mwanahari wetu, Natasha alisema kuwa sababu ya ndoa za mastaa wengi kuvunjika ni...

 

10 years ago

Habarileo

Kesi zenye mvuto kuwa laivu kwenye TV

Jaji Mkuu, Mohamed Chande OthmanMAHAKAMA inaangalia uwezekano wa kuruhusu vyombo vya habari kurekodi picha na sauti kuwezesha vituo vya radio na televisheni kuripoti habari za mahakama wakati kesi zinaendelea.

 

10 years ago

Habarileo

RC akataa Kiingereza kwenye warsha

MKUU wa Mkoa wa Singida, Dk Parseko Kone juzi alilmtaka mshereheshaji katika warsha ya wadau wa rasimu ya mpango wa usimamizi na uendelezaji wa pamoja wa rasilimali za maji Bonde la Kati kuacha kuendesha utambulisho wa wajumbe hao kwa lugha ya Kiingereza badala yake atumie Kiswahili.

 

10 years ago

Bongo Movies

Majina ya Wanaowania Tuzo za Filamu Mwaka 2015 Haya Hapa

Waandaaji wa tuzo kubwa kufanyika za filamu Tanzania Film Awards 2015 (TAFA) yametajwa rasmi na tayari kwa kupigiwa kura baada ya namba za majina hayo kutoka katika ukumbi wa Hotel ya New Africa,  mmoja kati  ya waratibu wa tuzo hizo Teacher Issa Mbura alieleza kuwa tuzo hizo zitakuwa na vipengele kumi na mbili tu, na baadae kulingana na mahitaji vinaweza kuongezeka kwa miaka ijayo.

Majina ya wanaowania tuzo hizo hayo hapo chini fuatilia na kwa makini kisha jiandae kumpigia kura msanii wako...

 

10 years ago

Bongo Movies

Rachel: Sio JB pekee, Hizi ni baadhi ya Filamu za Marehemu Kanumba na Ray walizokopi Stori Mpaka Majina

Mcheza filamu za kibongo ambae pia ni muigiazaji wa michezo ya kuigiza kupitia kituo cha televisheni cha Chanel Ten, Rachel Silvestar  amesma anashangazwa na baadhi ya watu kumchukulia vibaya muogizaji mkongwe JB baada ya kuonekana amekopi filamu ya kihindi na kuiita mzee wa swaga wakati hicho kitendo ni cha kawaida kwenye sanaa duniani na JB sio mtu wa kwanza kukupi filamu za nje

Amesema wasanii wakubwa pia kama marehemu Kanumba na Ray nao wamewahi kukopi filamu za nje tena mpaka majina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani