KHAA! KOMBA
![](http://api.ning.com:80/files/QsQ1m7RyND1BRRFuWEYHjxOWrNGwtLmJBBDuthawjhqcFvvXfcMsGgC7WxRN3FLk6pwqHJ*jIJLCeSv7KqvT7piyGaYK7uqZ/KOMBA.jpg)
Stori: na waandishi wetu UKISIKIA khaa! Kwa tafsiri ya Lugha ya Kiswahili ina maana ya mshangao, unachosubiri ni kuona au kusikia kinachostaajabisha ambapo leo jina la Komba mtu anayetajwa kwa hadhi ya uheshimiwa ndilo linalowashangaza wengi, subiri uhabarishwe. Mheshimiwa Komba akiwa na binti wa umri sawa na mtoto wake aliyefahamika kwa jina la Agnes katika hoteli maarufu iliyopo mjini Dodoma. KOMBA ANASHANGAZA NINI? ...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers23 Dec
Ziara hizi za kushtukiza, khaa!
Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia runinga mara chache nikibahatika kupita mahala kuna runinga. Sasa wiki hii nimesikia mengi kuhusu hizi ziara za kushtukiza za viongozi wetu, nikaona hili ni jambo zuri tena linafaa kuigwa na sisi wananchi wapenda maendeleo.
Nikaona nijipange na mimi nifanye ziara kadhaa za kushtukiza katika sehemu mbalimbali zinazonihusu.Nikaona nianze na ziara ya kushtukiza pale shuleni kwa huyu mwanangu, maana kila siku...
10 years ago
Tanzania Daima12 Oct
Khaa! twadanganywa kama watoto?
“OLE wenu … viongozi vipofu, wenye kuchuja mbu na kumeza Ngamia … wanafiki kwa kuwa mnasafisha nje ya kikombe na chano, na ndani yake vimejaa unyang’anyi na kutokuwa na kiasi....
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jF779BPAXfZWwI4exXgQXxFJv9ji1GRTpdMllVSY8YPOCpxkBB10onyJyZRE058Bw8AGVXcbtQiQOoArB8qTfK6SSqSl*df-/BACKUMAMOSI.jpg)
KHAA! MZAZI MWENZIYE SUGU AVAA PEMPASI UKUMBINI
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/cDEmeB8bWGRolBTPoJlW7eGSoRHz6XzCs8NoLCKOq*5VymDqvQ131vIuKgT2IEMg7Kdq6JNQNvl7RKnbefsdXtOJud8eZvMg/mrembo.jpg?width=650)
KHAA! MREMBO AJITOSA KWENYE TOPE KUSHEREHEKEA USHINDI WA MAGUFULI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nc61tuPNc3PR7*Lbm1vty25v-M8Jzg05LNukhLaan42EtMr1EmNQv4TXnolkHwIlIiYIb6knxIClADYknh*iK65wtL2gYAXT/mzungu.jpg)
KHAA! MZUNGU DAR ADAIWA KUMLAZIMISHA HAUSIGELI AFANYE MAPENZI NA MBWA WAKE