Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Khaa! twadanganywa kama watoto?

“OLE wenu … viongozi vipofu, wenye kuchuja mbu na kumeza Ngamia … wanafiki kwa kuwa mnasafisha nje ya kikombe na chano, na ndani yake vimejaa unyang’anyi na kutokuwa na kiasi....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KHAA! KOMBA

Stori: na waandishi wetu
UKISIKIA khaa! Kwa tafsiri ya Lugha ya Kiswahili ina maana ya mshangao, unachosubiri ni kuona au kusikia kinachostaajabisha ambapo leo jina la Komba mtu anayetajwa kwa hadhi ya uheshimiwa ndilo linalowashangaza wengi, subiri uhabarishwe. Mheshimiwa Komba akiwa na binti wa umri sawa na mtoto wake aliyefahamika kwa jina la Agnes katika hoteli maarufu iliyopo mjini Dodoma. KOMBA ANASHANGAZA NINI?
...

 

9 years ago

Global Publishers

Ziara hizi za kushtukiza, khaa!

Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia runinga mara chache nikibahatika kupita mahala kuna runinga. Sasa wiki hii nimesikia mengi kuhusu hizi ziara za kushtukiza za viongozi wetu, nikaona hili ni jambo zuri tena linafaa kuigwa na sisi wananchi wapenda maendeleo.

Nikaona nijipange na mimi nifanye ziara kadhaa za kushtukiza katika sehemu mbalimbali zinazonihusu.Nikaona nianze na ziara ya kushtukiza pale shuleni kwa huyu mwanangu, maana kila siku...

 

10 years ago

Mwananchi

Mbwa wanaosujudiwa kama watoto, lulu na mapenzi

Ilikuwa siku chache baada ya Krismasi. Niliongozana na rafiki yangu mwanahabari wa gazeti moja mashuhuri Ujerumani. Tumekaa moja ya hoteli ambazo kama wewe si mwenyeji hutaijua.

 

10 years ago

GPL

KHAA! MZAZI MWENZIYE SUGU AVAA PEMPASI UKUMBINI

Stori: Imelda Mtema
Kituko! Katika hali ya kushangaza, msanii wa filamu Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’, aligeuka kituko baada ya kuingia ukumbini akiwa amevalia mavazi wavaayo watoto kuhifadhi haja zao maarufu kama ‘pempasi’. Faiza akiwa na pempasi ukumbini. Tukio hilo lilitokea juzikati katika Hotel ya Sea Cliff iliyopo Masaki jijini Dar, ambako walialikwa...

 

10 years ago

GPL

MAMA: NISAIDIENI MWANANGU AWE KAMA WATOTO WENGINE

Na Makongoro Oging’ “Nisaidieni mwanangu awe kama watoto wengine,” ni maneno ya mama mzazi wa mtoto Azimina Abdallah (miezi 11),  mkazi wa Zanzibar, Unguja anayeishi kwa mateso na maumivu makali kutokana na jicho kuvimba tangu azaliwe. Kwa sasa mama mzazi wa mtoto huyo aitwaye Amina Mbaruku anahangaika naye huku baba yake akidaiwa kutoonekani kwa muda mrefu, hivyo kuchukua uamuzi wa kuiomba jamii imsaidie....

 

9 years ago

Habarileo

‘Watoto waende shule hata kama hawana sare’

MKUU wa Mkoa wa Rukwa, Magalulla Said Magalulla amewataka wazazi na walezi mkoani humo kuhakikisha watoto wao wenye sifa za kuanza masomo wanakwenda shule mara tu zitakapofunguliwa hata kama hawana sare.

 

10 years ago

GPL

KAMA UMEMPENDA KWELI, WATOTO WAKE KITU GANI?

MAPENZI ni kitu cha ajabu sana. Ni hisia ambazo huibuka zilipojificha na huja zikiwa na nguvu ya hatari na kubwa mno tena ya ajabu. Hisia zisizokubali kupingwa kwa kile ambacho zimeamua. Hisia zisizokubali kurudi nyuma bali kwenda mbele katika kuhakikisha zinatimiza kusudio la kumpata ziliyedhamiria. Hisia zisizokuwa na macho zaidi ya macho kufunikwa na upofu, hisia zisizoweza kuchagua kama ziliyempenda ni mtu mwenye mtoto au...

 

10 years ago

Mwananchi

Ugomvi mbele ya watoto unajua kama huwaathiri kisaikolojia?

Umri kuanzia mwaka 0-6 ni kipindi ambacho wazazi wengi hudhani kwamba watoto wao hawawezi kujua/ kuelewa/ kujifunza kitu chochote kutoka kwao, huku wengi wakidhani kwamba ni umri ambao mtoto hawezi kuelewa hili ni jema na hili ni baya.

 

9 years ago

GPL

KHAA! MREMBO AJITOSA KWENYE TOPE KUSHEREHEKEA USHINDI WA MAGUFULI

SIJALI! Mrembo mmoja mkazi wa mjini Tunduma wilayani Momba mkoani hapa ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amejikuta akiwa sinema ya bure kufuatia uamuzi wake wa kujitosa kwenye maji yenye tope akidai anasherehekea ushindi wa Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk. John Pombe Magufuli wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mrembo huyo akijigaragaza kwenye matope. Tukio hilo la aina yake lilijiri hivi karibuni maeneo ya Mtaa wa CCM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani