Kiama mahekalu ya vigogo ufukweni!
Moja ya mjengo huo ulioko ufukweni.
ISSA MNALLY NA RICHARD BUKOS
WAKATI zoezi la kutumbua majipu likiendelea kufanya kazi katika maeneo mbalimbali, safari hii kiama kinaelekea kuyakuta mahekalu ya vigogo yaliyojengwa kwa bei mbaya katika fukwe za Bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam, Risasi Mchanganyiko linaripoti.
Kwa mujibu wa duru za mazingira na kwenye Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, baada ya kuzidiwa na nguvu ya fedha kwa muda mrefu, majumba hayo yatabomolewa wakati...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ho7RWhwBiVegHFRFfNnN2d873o197T3GQ6ASfHOeSVtDNjj5pCRIToaLi-ocUjGs4OnfVrRSkiCusODYmCwLzd622zbExZfU/kufuruu.jpg?width=650)
MAHEKALU YA MAASKOFU KUFURU
9 years ago
Mtanzania04 Jan
Hukumu’ ya mahekalu Dar kesho
*Kesi ya kupinga bomoabomoa kunguruma mahakamani leo
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
HUKUMU ya nyumba za kifahari (mahekalu) zilizojengwa sehemu zisizoruhusiwa, inatarajiwa kuanza kutekelezwa kesho kama ilivyotangazwa na Serikali.
Hatua hiyo, inatokana na Serikali kusitisha bomoabomoa kwa kipindi cha wiki mbili, ili kutoa fursa kwa wakazi wa maeneo ya mabondeni kuhama na kutangaza kuwa zoezi hilo litaanza tena Januari 5, mwaka huu.
Miongoni mwa nyumba ambazo zimezua gumzo, ni ile...
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Bomoa bomoa mahekalu Dar, ripoti inatisha
Tingatinga likiendelea na kazi ya ubomoaji.
HALI tete! Kufuatia Mahakama ya Ardhi, Dar kutengua bomoabomoa ya nyumba 674, bado ripoti inatisha kwa zile nyumba ambazo mahakama haikuzitambua na zile ambazo zilishabomolewa mwishoni mwa mwaka jana.
Moja ya mjengo wa ukibomolewa.
Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa wengi waliokimbilia mahakamani, walikuwa wakisukumwa na baadhi ya vigogo wenye mahekalu yao maeneo ya Mbezi, Dar ambao walikuwa wanashindwa kujitokeza mstari wa mbele kwa kuhofia...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Maximo aanzia kazi ufukweni
KOCHA Marcio Maximo, jana alianza kazi ya kuinoa timu hiyo katika mazoezi yaliyofanyika ufukwe wa Coco, jijini Dar es Salaam. Mazoezi hayo yaliyoanza jana majira ya saa 1:00 hadi saa...
10 years ago
BBCSwahili30 Dec
Tanzania mwenyeji mpira wa ufukweni
9 years ago
BBCSwahili23 Dec
Mzoga wa nyangumi wapatikana ufukweni
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-RLb1JJ9HCxs/VBw1HrGyoII/AAAAAAAGkho/jDQ0JMsF0-g/s72-c/DSCF9015.jpg)
MDAU AKIPUNGA UPEPO UFUKWENI
![](http://4.bp.blogspot.com/-RLb1JJ9HCxs/VBw1HrGyoII/AAAAAAAGkho/jDQ0JMsF0-g/s1600/DSCF9015.jpg)
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Denti chupuchupu kubakwa ufukweni
Maria akisitilia na marafiki zake baada ya kunusurika kubakwa.
Deogratius Mongela na Chande Abdallah
SIKUKUU NOMA! Zikiwa zimepita siku chache baada ya Sikukuu ya Krismasi kupita, imeacha matukio ya hatari ambapo denti wa Shule ya Zanaki, Dar aliyejulikana kwa jina moja la Maria alinusurika kubakwa katika Ufukwe wa Coco Beach.
Tukio hilo lilinaswa na kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM), siku ya ‘Boxing day’ ambapo denti huyo alinusurika kubakwa na wanaume wakware waliokuwa wakimzengea...
10 years ago
BBCSwahili27 Apr
Michuano ya Ufukweni kanda ya 5 yatajwa