Michuano ya Ufukweni kanda ya 5 yatajwa
Makundi ya kufuzu kucheza michezo ya Afrika (All Africa Games) ya mpira wa wavu ya ufukweni kanda ya 5 yametajwa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili02 Feb
Tanzania na michuano kanda ya 5 Afrika
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Denti chupuchupu kubakwa ufukweni
Maria akisitilia na marafiki zake baada ya kunusurika kubakwa.
Deogratius Mongela na Chande Abdallah
SIKUKUU NOMA! Zikiwa zimepita siku chache baada ya Sikukuu ya Krismasi kupita, imeacha matukio ya hatari ambapo denti wa Shule ya Zanaki, Dar aliyejulikana kwa jina moja la Maria alinusurika kubakwa katika Ufukwe wa Coco Beach.
Tukio hilo lilinaswa na kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM), siku ya ‘Boxing day’ ambapo denti huyo alinusurika kubakwa na wanaume wakware waliokuwa wakimzengea...
10 years ago
BBCSwahili01 Dec
Kichanga chaokotwa ufukweni Sydney
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-RLb1JJ9HCxs/VBw1HrGyoII/AAAAAAAGkho/jDQ0JMsF0-g/s72-c/DSCF9015.jpg)
MDAU AKIPUNGA UPEPO UFUKWENI
![](http://4.bp.blogspot.com/-RLb1JJ9HCxs/VBw1HrGyoII/AAAAAAAGkho/jDQ0JMsF0-g/s1600/DSCF9015.jpg)
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Kiama mahekalu ya vigogo ufukweni!
Moja ya mjengo huo ulioko ufukweni.
ISSA MNALLY NA RICHARD BUKOS
WAKATI zoezi la kutumbua majipu likiendelea kufanya kazi katika maeneo mbalimbali, safari hii kiama kinaelekea kuyakuta mahekalu ya vigogo yaliyojengwa kwa bei mbaya katika fukwe za Bahari ya Hindi jijini Dar es Salaam, Risasi Mchanganyiko linaripoti.
Kwa mujibu wa duru za mazingira na kwenye Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, baada ya kuzidiwa na nguvu ya fedha kwa muda mrefu, majumba hayo yatabomolewa wakati...
10 years ago
BBCSwahili30 Dec
Tanzania mwenyeji mpira wa ufukweni
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Maximo aanzia kazi ufukweni
KOCHA Marcio Maximo, jana alianza kazi ya kuinoa timu hiyo katika mazoezi yaliyofanyika ufukwe wa Coco, jijini Dar es Salaam. Mazoezi hayo yaliyoanza jana majira ya saa 1:00 hadi saa...
9 years ago
BBCSwahili23 Dec
Mzoga wa nyangumi wapatikana ufukweni
9 years ago
Habarileo29 Sep
Stars ya kuivaa Malawi yatajwa
KIKOSI cha timu ya soka ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoikabili Malawi, The Flames katika mechi ya kuwania kufuzu fainali za Kombe la Dunia 2018, kimetangazwa kikiwa hakina mabadiliko na kilichoikabili Nigeria katika kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2017.