Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIDOA: MASOGANGE CHA MTOTO KWANGU

Mayasa Mariwata
VIDEO Queen anayekuja kwa kasi Bongo, Asha Salumu `Kidoa’ amempa makavu laivu muuza sura mwenziye Agnes Gerald ‘Masogange,’ akimponda kuwa kalio lake siyo orijino kwani wakati mwingine hulijaladia. Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Kidoa alisema amekuwa akimshangaa mrembo  huyo kwa kujianika mtandaoni akionekana ana kalio kubwa kumbe siyo orijino. “Masogange cha mtoto kwangu, ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Kidoa akibidhiwa kitita chake cha Ijumaa Sexiest Girl 2015

_PL_3189

Mkurugenzi wa Hamandobe Distributor, Joanita akimkabidhi kitita cha Sh. laki tano mshindi, Kidoa.

_PL_3187

Kidoa akikabidhiwa kitita mbele ya Amran Kaima.

_PL_3232

Mhariri wa GAzeti la Ijumaa na muandaaji mkuu wa shindano la Ijumaa Sexiest Girl 2015, Amran Kaima akimpa cheti, Kidoa.

_PL_3236

_PL_3262

KIDOA (2)

Mhariri wa GAzeti la Ijumaa, Amran KAima (kushoto) akimkabidhi cheti, Kidoa.
KIDOA (4)

Kidoa akiwa ameshikilia cheti chake baada ya kuzawadiwa.

KIDOA (5)

KIDOA (6)

Kidoa katika mapozi tofauti.KIDOA (7)

Mkurugenzi wa hamandobe, Joanita akiwa katika pozi.KIDOA (8)

Kidoa...

 

9 years ago

Bongo5

Kitendo cha kupupuruka mwili nikawa kama AT kwangu itakuwa ni fedheha kubwa sana– Asema Msechu

Peter Msechu

Peter Msechu hana mpango wa kupungua mwili ili awaridhishe mashabiki ambao wamekuwa wakimsema kutokana na kujiachia sana mwili.

Peter Msechu

Muimbaji huyo wa ‘Nyota’ anaamini kuwa mwonekano alionao sasa ni moja ya utambulisho wake, hivyo akipungua mwili inaweza kuharibu ‘image’ yake. Mfano wa anachokimaanisha hapo ni kama Baghdad wa zamani na alivyo sasa unaweza kumsahau baada ya kupungua sana.

baghdad wa zamani na sasa
Kushoto Baghdad wa sasa, kulia wa zamani

“Mi ninachokiogopa kwenye maisha yangu ni kuwa model, sababu nadhani...

 

9 years ago

Global Publishers

Kidoa amtangazia vita Zari

KIDOA (4)Video Queen maarufu Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’.

Musa mateja
Video Queen maarufu Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amemtangazia vita mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ akidai atafanya kila njia amnase msanii huyo.

Rafiki wa karibu wa Kidoa aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini alidai kuwa, Kidoa alikuwa akimpenda sana Diamond hata kabla ya kuwa na Zari ndiyo maana ana ndoto za kuwa naye.

ZARI47817 Mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’.

“Kidoa...

 

9 years ago

GPL

KIDOA AOMBWA PENZI, AGOMA, ATISHIWA KUFANYIZIWA!

Modo anayefiti kuvaa viatu vya Agnes Masogange, Asha Salum ‘Kidoa’. Na Mayasa Mariwata Modo anayefiti kuvaa viatu vya Agnes Masogange, Asha Salum ‘Kidoa’ amedai kuna kigogo mmoja amekuwa akimtaka kimapenzi lakini kila anavyojaribu kumkatalia, anamtishia kumfanyizia. Kidoa juzikati aliliambia Ijumaa kuwa, kigogo huyo ambaye kwa sasa hawezi kumtaja jina lake aliwahi kumpigia simu na kutaka kuonana naye kwa maelezo kuwa,...

 

9 years ago

Global Publishers

Kidoa aibuka mshindi wa Ijumaa Sexiest Girl 2015

IMG_1250

Asha Salum ‘Kidoa’ (katikati) akiwasalimia mashabiki baada ya kutangazwa mshindi wa Ijumaa Sexiest Girl 2015 usiku huu Dar Live.

IMG_1260Akikabidhiwa Tuzo na Cheti chake na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Amrani Kaima (kulia).

 

9 years ago

Global Publishers

kidoa hongera; kuna maisha baada ya ushindi, jipange!

KIDOA (6)
KWAKO Mshindi wa Shindano la Ijumaa Sexiest Girl, Asha Salum ‘Kidoa’. Mambo vipi, ‘kiraruraru’ cha ushindi kimepungua? Unajisikiaje kuwa mshindi wa shindano hilo maarufu linaloendeshwa kila mwaka na Gazeti la Ijumaa?

Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima, naendelea na mishemishe zangu za kila siku. Suala la kukuandikia wewe barua ni moja kati ya majukumu yangu. Nimekuwa nikifanya hivyo kwa mastaa mbalimbali, leo ni zamu yako.

Nasema ni zamu yako kwani nawe sasa ni staa. Kabla ya kuibuka...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kidoa aibuka kidedea Ijumaa Sexiest Girl 2015

IMG_1255 Video Queen anayefanya pia filamu, Asha Salum ‘Kidoa’ akiwa na tuzo yake ya Ijumaa Sexiest Girl 2015 baada ya kuwafunika Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Vanessa Mdee ‘Vee ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar.IMG_1250 Kidoa (katikati) akiwasalimia mashabiki baada ya kutangazwa mshindi wa Ijumaa Sexiest Girl 2015.IMG_1252…Akilia kwa furaha.IMG_7945Kidoa akikabidhiwa tuzo na Mkurugenzi wa Hamadombe Distributor, Fatuma Makame.IMG_1232rt…Akibusu tuzo. IMG_1260Akiwa katika picha ya pamoja na mratibu...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA TUMAINI LA MTOTO YATOA ELIMU, MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHUKUWAMA

TAASISI isiyo ya kiserikali ya Tumaini la Mtoto imetoa elimu na msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha kulelea watoto yatima cha CHUKUWAMA kilichopo Mwenge jijini Dar es Salaam.
Akitoa elimu kwa watoto wa kituo hicho Mkurugenzi Taasisi ya Tumaini la Mtoto, Maziku Kuwandu amesema kuwa Watoto waliopo kwenye vituo vyao vya kulelewa wamekuwa hawapati elimu ya kujikinga na Virusi vya Corona (Covid 19) ndio maana wachukua fursa hiyo kuwapa elimu watoto hao.
"Taasisi ya Tumaini la Mtoto kupitia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani