Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kidoa amtangazia vita Zari

KIDOA (4)Video Queen maarufu Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’.

Musa mateja
Video Queen maarufu Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amemtangazia vita mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’ akidai atafanya kila njia amnase msanii huyo.

Rafiki wa karibu wa Kidoa aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini alidai kuwa, Kidoa alikuwa akimpenda sana Diamond hata kabla ya kuwa na Zari ndiyo maana ana ndoto za kuwa naye.

ZARI47817 Mpenzi wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari’.

“Kidoa...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MACHOZI YAWATOKA DIAMOND NA ZARI BAADA YA KUONA MABAKI YA MIILI KATIKA VITA YA KIMBALI NCHINI RWANDA

Hapa Diamond na Zari walivyokuwa wanaangalia mifupa ya miili ya mapigano hayo ya Wahutu na Watusi ambayo yalitikisa dunia.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wema amtangazia ‘za uso’ Tundu Lissu ifikapo Oktoba

DSC00917

Msanii maarufu wa filamu nchini, Wema Sepetu, amedai kuwa mbunge wa jimbo la Singida mashariki, Tundu Lissu wa CHADEMA, siku zake za ubunge zinahesabika kutoka na kampeni atayosaidiana na mgombea wa CCM wa jimbo hilo Jonathan Njau, ambayo itaiondoa CHADEMA na kulirejesha jimbo hilo CCM. Wema aliyasema hayo wakati akiongea na waandishi wa habari kwenye viwanja vya ofisi ya CCM wilaya ya Ikungi mkoani Singida.(Picha na Nathaniel Limu).

DSC00913

Na Nathaniel Limu, Ikungi

MSSANII maarufu wa filamu...

 

10 years ago

GPL

KIDOA: MASOGANGE CHA MTOTO KWANGU

Mayasa Mariwata
VIDEO Queen anayekuja kwa kasi Bongo, Asha Salumu `Kidoa’ amempa makavu laivu muuza sura mwenziye Agnes Gerald ‘Masogange,’ akimponda kuwa kalio lake siyo orijino kwani wakati mwingine hulijaladia. Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Kidoa alisema amekuwa akimshangaa mrembo  huyo kwa kujianika mtandaoni akionekana ana kalio kubwa kumbe siyo orijino. “Masogange cha mtoto kwangu, ni...

 

9 years ago

GPL

KIDOA AOMBWA PENZI, AGOMA, ATISHIWA KUFANYIZIWA!

Modo anayefiti kuvaa viatu vya Agnes Masogange, Asha Salum ‘Kidoa’. Na Mayasa Mariwata Modo anayefiti kuvaa viatu vya Agnes Masogange, Asha Salum ‘Kidoa’ amedai kuna kigogo mmoja amekuwa akimtaka kimapenzi lakini kila anavyojaribu kumkatalia, anamtishia kumfanyizia. Kidoa juzikati aliliambia Ijumaa kuwa, kigogo huyo ambaye kwa sasa hawezi kumtaja jina lake aliwahi kumpigia simu na kutaka kuonana naye kwa maelezo kuwa,...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kidoa aibuka kidedea Ijumaa Sexiest Girl 2015

IMG_1255 Video Queen anayefanya pia filamu, Asha Salum ‘Kidoa’ akiwa na tuzo yake ya Ijumaa Sexiest Girl 2015 baada ya kuwafunika Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Vanessa Mdee ‘Vee ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar.IMG_1250 Kidoa (katikati) akiwasalimia mashabiki baada ya kutangazwa mshindi wa Ijumaa Sexiest Girl 2015.IMG_1252…Akilia kwa furaha.IMG_7945Kidoa akikabidhiwa tuzo na Mkurugenzi wa Hamadombe Distributor, Fatuma Makame.IMG_1232rt…Akibusu tuzo. IMG_1260Akiwa katika picha ya pamoja na mratibu...

 

9 years ago

Global Publishers

kidoa hongera; kuna maisha baada ya ushindi, jipange!

KIDOA (6)
KWAKO Mshindi wa Shindano la Ijumaa Sexiest Girl, Asha Salum ‘Kidoa’. Mambo vipi, ‘kiraruraru’ cha ushindi kimepungua? Unajisikiaje kuwa mshindi wa shindano hilo maarufu linaloendeshwa kila mwaka na Gazeti la Ijumaa?

Ukitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima, naendelea na mishemishe zangu za kila siku. Suala la kukuandikia wewe barua ni moja kati ya majukumu yangu. Nimekuwa nikifanya hivyo kwa mastaa mbalimbali, leo ni zamu yako.

Nasema ni zamu yako kwani nawe sasa ni staa. Kabla ya kuibuka...

 

9 years ago

Global Publishers

Kidoa aibuka mshindi wa Ijumaa Sexiest Girl 2015

IMG_1250

Asha Salum ‘Kidoa’ (katikati) akiwasalimia mashabiki baada ya kutangazwa mshindi wa Ijumaa Sexiest Girl 2015 usiku huu Dar Live.

IMG_1260Akikabidhiwa Tuzo na Cheti chake na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Amrani Kaima (kulia).

 

10 years ago

Africanjam.Com

TANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI

Tweet

Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani