Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kifo cha ‘Jembe’ Gurumo kilivyowagusa Watanzania

KUFUATIA kifo cha mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini,  Muhidin Gurumo ‘Mjomba’, wanamuziki wengi wametoa maoni yao jinsi walivyomfahamu. Gurumo aliyefariki dunia Jumapili iliyopita katika Hospitali ya Taifa Muhimbili...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Sugu: Kifo cha Gurumo ni pigo

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ambaye pia ni gwiji la muziki wa kizazi kipya, amesema kifo cha mwanamuziki nguli wa dansi nchini, Muhidin Maalim Gurumo ‘Mjomba’, ni pigo...

 

11 years ago

GPL

SALAAM ZA RAMBIRAMBI KWA KIFO CHA MAALIM GURUMO

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa msanii nguli wa tasnia ya muziki wa Dansi nchini Muhidini Maalimu Ngurumo. “Baraza limestushwa na kuhuzunishwa sana kutokana na taarifa ya kifo hiki cha Muhidini Maalimu Ngurumo ambaye mchango wake katika muziki wa dansi ni mkubwa mno na  unahitajika sana, pengo aliloliacha ni kubwa kwani ubunifu wake bado unahitajika katika tasnia...

 

11 years ago

Michuzi

basata yaomboleza kifo cha muhidin maalim gurumo

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa msanii nguli wa tasnia ya muziki wa Dansi nchini Muhidini Maalimu Ngurumo


“ Baraza limestushwa na kuhuzunishwa sana kutokana na taarifa ya kifo hiki cha Muhidini Maalimu Ngurumo ambaye mchango wake katika muziki wa dansi ni mkubwa mno na  unahitajika sana, pengo aliloliacha ni kubwa kwani ubunifu wake bado unahitajika katika tasnia hii.”  Baraza linatoa pole kwa familia ya marehemu na wasanii wote...

 

11 years ago

Michuzi

NGOMA AFRICA BAND YA UJERUMANI YAOMBOLEZA KIFO CHA MWANA MUZIKI MKONGWE MUHIDIN GURUMO (RIP)

 Tumepokea kwa huzuni tele na majonzi makubwa taarifa ya kifo cha mkongwe wa muziki wa dansi nchini Tanzania na Africa ya mashariki marehemu mzee Muhidin Maalimu Gurumo Kilichotokea leo 13.04.2014 huko nyumbani Tanzania. Pamoja na kuwa mbali na nyumbani bendi ya muziki wa dansi Ngoma Africa Band yenye makao yake nchini Ujerumani  inaungana na watanzania wote popote pale katika kuomboleza msiba huu. Tunatoa pole zetu kwa bendi ya Msondo Ngoma pamoja na familia ya marehemu,mwenyezi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kalale pema ‘Jembe letu’ Muhidini Maalim Gurumo

TASNIA ya muziki wa dansi nchini imepata pigo kubwa la kuondokewa na mwanamuziki mkongwe, Maalim Muhidini Gurumo aliyefariki jana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam alikokuwa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd : Maandamano yatanda huku afisa akikamatwa kwa kifo cha raia mweusi wa Marekani

Afisa akamatwa kwa mauaji ya Mmarekani mweusi aliyekuwa amekamatwa na polisi

 

10 years ago

GPL

SHOO YA JOH MAKINI NDANI YA JEMBE NI JEMBE, MWANZA YAACHA HISTORIA

Mwana Hip hop, Joh Makini akisema na mashabiki wake waliofurika katika Ukumbi wa Jembe ni Jemba jijini Mwanza usiku wa kuamkia leo. Mashabiki wakiwa wamechizika na burudani kutoka kwa Joh Makini.…

 

10 years ago

GPL

DNA, KENRAZY, GRANDPA FAMILY WATIKISA JEMBE NI JEMBE JIJINI MWANZA

Mwanamuziki DNA akiwapagawisha mashabiki wa muziki ndani ya Ukumbi wa Jembe ni Jembe, Mwanza. Mwanamuziki kutoka nchini Kenya, Kenrazy akiwa stejini kuwapa burudani mashabiki wa Jembe ni Jembe.…

 

11 years ago

Michuzi

HAFLA YA MEET AND GREAT YAFANA NDANI YA UFUKWE WA CLUB YA JEMBE NI JEMBE JIJINI MWANZA.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group,Bwa.Joseph Kusaga a.k.a Joe sambamba na Mkurugenzi wa kampuni bingwa ya Burudani hapa nchini,Prime Time Promotions ,Bi Juhayna Kusaga ambao ndio waandaaji wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 wakiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL),Bwa.Ephraim Mafuru  ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha hilo wakiwa ndani ya hafla ya Meet&Great ya Wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya (watakaoshiriki tamasha la fiesta) na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani