Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kifungo kwa mawaziri wa zamani Tanzania

Basil Mramba na Daniel Yona wameukamilisha usiku wa kwanza gerezani baada ya kukutwa na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mahakama yawarusu kwenda kutibiwa nje ya nchi Mawaziri Waandamizi wa zamani,Basil Mramba na Daniel Yona

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imewaruhusu kwenda kutibiwa nje ya nchi  Mawaziri Waandamizi wa zamani,  Basil Mramba na Daniel Yona wanaokabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishia Serikali hasara ya Sh. bilioni 11.7  kwa kutoa msamaha wa kodi baada ya kusikiliza maombi yao leo.
Uamuzi huo umetolewa leo mahakamani hapo na Jaji John Utamwa baada ya washtakiwa hao kuwasilisha maombi ya kwenda kutibiwa nje ya nchi.
Upande wa Jamhuri ulidai kuwa...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA MSIBA WA MTANGAZAJI WA ZAMANI WA RADIO TANZANIA MSHINDO MKEYENGE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha aliyekuwa mtangazaji mashuhuri na maarufu wa iliyokuwa Redio Tanzania (sasa TBC Taifa), Ndugu Mshindo Mukeyenge ambaye alifariki dunia mwishoni mwa wiki na kuzikwa jana, Jumatatu, Mei 25, 2015.
Katika salamu alizomtumia Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Sofia Mjema leo, Jumanne, Mei 26, 2015, Rais Kikwete amesema kuwa kifo cha Mzee...

 

5 years ago

Michuzi

MAWAZIRI NA WADAU WA UTATU WA SADC SEKTA YA KAZI NA AJIRA WAPONGEZA SERIKALI YA TANZANIA KWA UTEKELEZAJI WA PROGRAMU YA TAIFA YA UKUZAJI UJUZI KWA VIJANA



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (wa pili kulia) akizungumza na Mawaziri na Wadau wa Utatu wa SADC sekta ya Kazi na Ajira walipotembelea eneo la Kaole, Wilaya ya Bagamoyo.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kifungo kwa watakaosajili simu kwa majina bandia

MBUNGE wa Arusha Mjini Godbless Lema (CHADEMA) ameitaka serikali kueleza ni kwa nini utaratibu wa kusajili laini za simu unafanywa kiholela bila kujali sheria iliyopo. Aliuliza wali hilo jana bungeni...

 

10 years ago

Bongo5

Muigizaji wa Bollywood Salman Khan ahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela, kwa kumgonga na kumuua mtu kwa gari

Mahakama ya nchini India imemhukumu muigizaji wa Bollywood, Salman Khan kifungo cha miaka mitano jela kwa kumgonga na kumuua mtu asiye na makazi mwaka 2002 mjini Mumbai. Mtu huyo alikuwa mmoja wa watu wengine watano waliogongwa kwenye tukio hilo. Muigizaji huyo alikuwa akikabiliwa na kosa la kuua bila kukusudia. Khan alikuwa akijitetea kuwa ni dereva […]

 

9 years ago

Michuzi

Tanzania yapongezwa kwa uongozi bora wa Kikundi Kazi cha Mawaziri Jumuiya ya Madola

Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola ukiendelea pembezoni mwa Mkutano wa 70 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Jijini New York, Marekani.Sekretarieti ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola wamesifu kazi iliyofanywa na Tanzania kama Mwenyekiti wa Kikundi Kazi cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa jumuiya hiyo ya kusimamia na kuimarisha misingi imara ya jumuiya katika kipindi cha miaka miwili iliyopita. Hayo yamesemwa na Dkt. Josephine Ojiambo Makamu Katibu Mkuu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

SAID MBELWA: Bondia anayetumikia kifungo kwa kinyongo

SAID Mbelwa si jina geni masikioni hata machoni mwa wapenzi na mashabiki wa masumbwi nchini. Hii inatokana na kuwa miongoni mwa mabondia mahiri kwa sasa ambao uwezo wao, umekuwa ndio...

 

9 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA WILAYA YA ILALA IMEMUHUKUMU KIFUNGO CHA MAISHA JELA MCHUNGAJI WA KANISA LA TANZANIA

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala imemuhukumu kifungo cha maisha jela Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God, Athanas Ngomai (30), baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mtoto wake mwenye umri wa miaka 15.

Pia, mahakama hiyo imetaka mchungaji huyo amlipe fidia ya Shilingi  milioni 2 mlalamikaji ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Mbondole iliyoko Ukonga. 
Ilidaiwa mahakamani hapo kuwa, Ngomai alianza kumbaka mtoto huyo akiwa na umri wa miaka kumi na moja, wakati huo akisoma darasa la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani