KIGOGO SACCOS ANASWA NA MTEJA
![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*AopHhhFW5UkeFaPEm5XwCKpJYOzm*P2kqqoy*MUhkRozVA5pX3E3fn7ZIrtbUrOStPR9mq7l599VxVjMjegvIU/FRONTAMANI.jpg?width=650)
Deogratius Mongela na Chande Abdallah KUNA madai kwamba, kigogo wa taasisi moja ya mikopo (Saccos) wilayani Bagamoyo, Pwani, Shabani Rajabu Mkali amenaswa gesti akiwa na mke wa mtu bila kujulikana waliingia kufanya nini, Amani linakupa picha nzima. Kigogo wa taasisi moja ya mikopo (Saccos) wilayani Bagamoyo, Pwani, Shabani Rajabu Mkali akiwa na mke wa mtu gesti. Tukio hilo la aina yake lilijiri kwenye gesti moja (jina...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wTFR6FHHG9KZ1nkOPU489oObcBSKnfOWWeNjP*u-CJkQIJPxGHB6OlGAaPD6LVuInWYzR5sed70O2J3QjYjzGZdZ-z*VbZKJ/IMG20150425WA0004.jpg?width=650)
KIGOGO MPYA WA WOLPER ANASWA
10 years ago
Bongo Movies02 May
Wolper Anaswa na Kigogo Mpya!
Achilia mbali akina pedeshee Mangi, Dallas na Gee Modal, kigogo mpya wa staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe safari hii amenaswa laivu wakijiachia kwa raha zao, Risasi Jumamosi lina cha kushika mkononi.
Kwa mujibu wa chanzo cha gazeti la risasi la leo, kigogo huyo ni mtu mwenye fedha zake aitwaye Jimmy Mgaya ambaye ni Mbongo mfanyabiashara aishie nchini Afrika Kusini ‘Sauz’.
Chanzo hicho kilishusha data kuwa jamaa huyo ndiye aliyempangia Wolper nyumba ya kifahari iliyopo ushuani...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-CaBTeWbQKlM/XphABBMi-KI/AAAAAAALnJ4/kCg1BZ7Y-noBDdFkrQ45WglBBrgHraddgCLcBGAsYHQ/s72-c/29229496-9983-49eb-8c08-180542859934.jpg)
KIGOGO BIASHARA YA DAWA ZA KULEVYA AMBAYE NI RAIA WA NIGERIA ANASWA JIJINI DAR, WAMO PIA WATANZANIA WAWILI...
![](https://1.bp.blogspot.com/-CaBTeWbQKlM/XphABBMi-KI/AAAAAAALnJ4/kCg1BZ7Y-noBDdFkrQ45WglBBrgHraddgCLcBGAsYHQ/s640/29229496-9983-49eb-8c08-180542859934.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-1QW2hjy0Wbk/XphAB0QuDNI/AAAAAAALnKA/ULe5CkKqn60nEwrb-rXcuLG4SiEecWe_QCLcBGAsYHQ/s640/85036a40-6c14-426e-bcbd-9713b9c07805.jpg)
Watuhumiwa wa biashara ya dawa za kulevya wakiwa chini ya ulinzi baada ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini kuwanasa jijini Dar es Salaam.
![](https://1.bp.blogspot.com/-il6JBypXrMc/XphABWgQ4rI/AAAAAAALnJ8/AFkssFUMb7IcE8tfwQ-6yHcgvBi1rL_8gCLcBGAsYHQ/s640/ad35ca83-39ef-4e13-bb84-eb573b11fdb3.jpg)
Na Ripota Wetu,Michuzi TV
MAMLAKA ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya jana...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-eLHN8oMALTw/U7PWx8cIZCI/AAAAAAAFuNA/BpKoptrufwc/s72-c/82b03bb3174022e75e7798d09384a2a2.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Mteja hujenga, huua biashara
MAADILI mema ya biashara ni kanuni za kinidhamu ambazo hutumika ili kuwa na biashara endelevu. Watu wengi wamekuwa wakifanya biashara kiujanja ujanja kwa kutumia uongo mwingi kwa wateja, jambo linaloyumbisha...
10 years ago
Mwananchi19 Feb
Mambo yasiyofaa kumfanyia mteja
11 years ago
BBCSwahili19 Jun
India, mteja mkubwa wa mafuta ya Nigeria
10 years ago
Vijimambo12 Feb
MAUAJI YA MTEJA WA GARI. Ndugu wasimulia
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Mauwaji-12feb2015.jpg)
Mapya yameibuka katika mauaji ya Farahan Maluli (30), anayedaiwa kuuawa na rafiki yake ambaye ni mtoto wa bosi wake baada ya ndugu wa marehemu kuzungumzia jinsi marehemu alivyokuwa akitoa fedha kwa mtuhumiwa wa mauaji hayo.
Ndugu wa marehemu walifichua siri hiyo wakati wakizungumza na NIPASHE kwenye mazishi ya kijana huyo...
10 years ago
Mwananchi19 Mar
MJASIRIAMALI : Umuhimu wa huduma kwa mteja