Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mteja hujenga, huua biashara

MAADILI mema ya biashara ni kanuni za kinidhamu ambazo hutumika ili kuwa na biashara endelevu. Watu wengi wamekuwa wakifanya biashara kiujanja ujanja kwa kutumia uongo mwingi kwa wateja, jambo linaloyumbisha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MICHEZO HUJENGA AMANI, UPENDO NA MSHIKANAMO-TANZANIA


Bw. Noel Kaganda, Afisa wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akizungumza kwa niaba ya Tanzania wakati wa upitishaji wa Azimio kuhusu nafasi ya michezo katika ujenzi wa ulimwengu ulio bora na wenye amani. Azimio hilo limepitishwa siku ya Jumatatu na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. Kabla ya kupitishwa wa Azimio, Wajumbe wa Baraza Kuu walifanya mkutano mfupi wa kumuenzi na kumkumbuka, Bw. Ali Treki mwanadiplomasia wa Libya na aliyewahi kuwa Rais wa Baraza Kuu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Utafiti: Tumbaku huua watu 500 kwa siku

WATU takribani 500 hufariki duniani kwa siku kutokana na matumizi ya tumbaku. Hayo yalibainishwa na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya ulimwenguni(WHO) Dk. Rufaro Chatora, katika mkutano uliowakutanisha wadau mbalimbali...

 

11 years ago

Mwananchi

Malaria huua mtoto kila baada ya sekunde 60 barani Afrika

wakati ikiwa imebaki miaka mitatu kabla ya kumalizika kwa kipindi cha kwanza cha Malengo ya Milenia (MDG) kumalizika, ugonjwa wa malaria hauonekani kukubali kudhibitiwa pamoja na jitihada mbalimbali zinazofanywa kuupunguza kama si kuuondoa kabisa.

 

10 years ago

Mwananchi

Ajira na mazingira yasiyo na dawa za kulevya huua Panya Road

Nayakumbuka sana yale majadiliano tuliokuwa nayo miaka ile ya shule za msingi na sekondari katika juhudi za walimu kutufanya tujue Kiingereza. Moja ya mada ninayokumbuka ni ‘town life is better than village life’, yaani maisha ya mjini ni bora kuliko yale ya kijijini. Sikumbuki mimi nilikuwa napendelea upande upi kati ya maisha ya mjini au kijijini.

 

10 years ago

GPL

KIGOGO SACCOS ANASWA NA MTEJA

Deogratius Mongela na Chande Abdallah
KUNA madai kwamba, kigogo wa taasisi moja ya mikopo (Saccos) wilayani Bagamoyo, Pwani, Shabani Rajabu Mkali amenaswa gesti akiwa na mke wa mtu bila kujulikana waliingia kufanya nini, Amani linakupa picha nzima. Kigogo wa taasisi moja ya mikopo (Saccos) wilayani Bagamoyo, Pwani, Shabani Rajabu Mkali  akiwa na mke wa mtu gesti. Tukio hilo la aina yake lilijiri kwenye gesti moja (jina...

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Mwananchi

Mambo yasiyofaa kumfanyia mteja

Wateja ni nguzo kuu ya ujasiriamali kwani bila wateja hakuna biashara. Mteja anahitaji huduma nzuri ili afurahie fedha yake. Mteja apatapo huduma nzuri atarudi tena na tena.

 

11 years ago

BBCSwahili

India, mteja mkubwa wa mafuta ya Nigeria

Serikali ya Nigeria inasema kuwa India imekuwa nchi inayonunua mafuta ghafi kwa wingi kutoka kwake kuliko Marekani

 

10 years ago

Mwananchi

Akamatwa akitafuta mteja wa mtoto albino

Mtu mmoja amekamatwa na polisi akiwa katika harakati za kutafuta soko la kuuza mtoto mdogo wa dada yake ambaye ana ulemavu wa ngozi mwenye umri wa miaka sita.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani