Kigoma, Tabora wazembea matumizi uzazi wa mpango
MIKOA ya Kigoma na Tabora inaelezwa kuwa na matumizi ya chini ya njia za uzazi wa mpango, jambo linalochangia mikoa hiyo kuwa na ongezeko kubwa la watu zaidi ya idadi ya kitaifa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Jun
Wahamasishaji jamii kuongeza nguvu ya kampeni mpya ya uzazi wa mpango Kigoma
Mkurugenzi Mkuu wa shirika la World Lung Foundation Dk.Nguke Mwakatundu (katikati) akizungumza katika mkutano na Waandishi wa habari,waganga wakuu wa wilaya mkoani Kigoma na wahamasishaji jamii kuhusu uzazi wa mpango ikiwa ni sehemu ya kampeni ya uzazi wa mpango ijulikanayo thamini uhai Jitofautishe.
*Wahamsishaji jamii waliofuzwa watafanya kazi na kampeni ya Thamini Uhai kuhamasisha faida za uzazi wa mpango*
Mkutano na waandishi wa habari mkoani Kigoma umeainisha nafasi muhimu ya...
9 years ago
Habarileo05 Dec
Muuguzi ahimiza uzazi wa mpango
JAMII ya watu wenye ulemavu nchini, imeombwa kujiunga na huduma za uzazi wa mpango ili wawe na uwezo wa kujikimu katika maisha na kuondokana na dhana kuwa hawastahili kujiunga na huduma hizo.
9 years ago
Habarileo21 Oct
Wataka kipaumbele uzazi wa mpango
BAADHI ya wagombea ubunge mkoani Singida wameiomba serikali ijayo kutoa kipaumbele kwenye suala la uzazi wa mpango nchini. Wagombea ubunge wa majimbo ya Singida Mjini, Ikungi Magharibi na Mkalama walitoa mwito huo kwenye mahojiano maalumu yaliyoandaliwa na Muungano wa Klabu za Wanahabari Nchini (UTPC) chini ya Mradi wa Mama Ye unaohimiza matumizi ya njia za Uzazi wa Mpango.
10 years ago
BBCSwahili08 May
Njia ya uzazi wa mpango ya kipekee
11 years ago
Habarileo14 Jun
Wanaume waaswa kufuata uzazi wa mpango
WANAUME wametakiwa kufuata uzazi wa mpango kwa ajili ya kuimarisha familia zao na kupambana na hali ngumu ya maisha.
10 years ago
Habarileo07 Aug
Kampeni uzazi wa mpango zahamia baa
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kushirikiana na wadau mbalimbali katika sekta ya afya, wanatarajia kuendesha kampeni ya uhamasishaji wa uzazi wa mpango kwa jamii katika maeneo ya mabaa na vilabu vya pombe mkoani Kigoma.
9 years ago
BBCSwahili09 Dec
Vatican: Uzazi wa mpango suluhu ya mazingira
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Dosari za kutumia uzazi wa mpango wa dharura
11 years ago
Habarileo23 May
Huduma za uzazi wa mpango zatengewa bil.3/-
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imetenga kiasi cha Sh bilioni 3 katika bajeti ya fedha ya mwaka 2014/15 kwa ajili ya huduma za uzazi wa mpango.