KIJANA ANUSURIKA KUAWA BAADA YA KUIBA SHUKA LA KIMASAI.

Kijana mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja amenusurika kifo toka kwa wananchi wenye hasira kali baada ya kukiri kuiba shuka la Kimasai katika moja ya maduka yanayouza bidhaa za aina hiyo lililoko mtaa wa uswahilini katikati ya mji wa Moshi.Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
Njombe:Kijana ajinyonga kwa kutumia shuka ndani ya Nyumba
Kijana anayefahamika kwa jina la Chesco Mtega mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa kitongoji cha Kanisa A Kijiji cha Ludewa,wilayani Ludewa mkoani Njombe amegundulika amejinyonga kwa kutumia shuka lililofungwa juu ya kenchi na shingoni mwake ndani ya nyumba,huku sababu zikitajwa ni kutokana na msongo wa mawazo (SONONA)
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mkuu wa Wilaya ya Ludewa ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo Mh,...
5 years ago
Michuzi
Njombe:Anusurika kuuawa kwa tuhuma za kuiba gunia za mkaa

Mtu mmoja anaefahamika kwa jina la Issa Setti maarufu Mngoni ambaye ni dereva bodaboda kituo cha Lutilage mjini Njombe amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali wa mtaa wa Idundilanga akituhumiwa kuiba gunia mbili za mkaa.
Wakizungumza kwa hisia kali wakazi wa mtaa huo wenye mikasa mingi ya wizi na uporaji akiwemo Joseph Kasiani na Grace Michael wamesema kijana huyo amekuwa na tabia ya wizi na udokozi wa kupindukia kwa kipindi kirefu na kutupiwa lawama na...
11 years ago
Habarileo06 Jan
Kijana auawa kwa tuhuma ya kuiba kuku 4
KIJANA mwenye umri wa miaka 20 mkazi wa Kijiji cha Isagala, wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga, ameuawa na watu waliojichukulia sheria mkononi wakimtuhumu kuiba kuku wanne.
10 years ago
Vijimambo
KIJANA ANUSURIKA KUUAWA KISA WIZI MAMA AINGILIA KATI KUMUOKOA KIFO
Kijana mmoja mkazi wa Kigogo Sukita jijini Dar es Salam ameambulia kipigo kizito kutoka kwa wananchi wenye hasira kali na kufikia hatua ya kutaka kumchoma moto kutokana na kitendo cha kumuibia simu na shilingi elfu therasini mwanadada ambaye naye ni mkazi wa eneo hilo.
Kutokana na kipondo cha aina yake alichokuwa akipewa na wananchi hao wenye hasira kali walionekana kumpania kutokana na vitendo vyake vya wizi wa mara kwa mara na kutokana na kipigi hicho kilichomfanya atapakae damu mwilimzima,...
11 years ago
GPLACHEZEA KICHAPO BAADA YA KUIBA
11 years ago
GPLKIBAKA AOKOLEWA NA POLISI BAADA YA KUIBA PIKIPIKI
10 years ago
Africanjam.Com
MAJAMBAZI WATIWA NGUVUNI BAADA YA KUFANYA JARIBIO LA KUIBA BENKI

11 years ago
GPLANUSURIKA KUFA BAADA YA KUGONGWA NA BODABODA
10 years ago
BBCSwahili09 Mar
Mtoto anusurika baada ya kutumbukia mtoni