Kijiwe chajadili IpTL
BAADA ya kushuhudia hila, ghilba, minyukano na mizengwe kuhusiana na sakata zima la wizi wa fedha ya wachovu chini ya kashfa ya Esrew uliofanywa na baadhi ya wanene wasiogusika, Kijiwe...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo506 Oct
Audio: Kipindi cha Haba na Haba chajadili mpango wa matokeo makubwa sasa
11 years ago
Michuzi11 Feb
11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
Kijiwe kuliambia Bunge si kuliombea
BAADA ya kijiwe kusikia baadhi ya wababaishaji, wataka sifa na wachovu eti kuombea Bunge la Katiba lililoharibikiwa, kimeamua kukaa na kuwakemea wote waombaji na waombewa. Mgosi Machungi anaingia na salamu...
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
Kijiwe chashtukia EPA mpya
SIKU hizi kijiwe kimegeuka FBI ya kaya. Kila inapotokea skandali lazima mmoja wetu awepo. Leo ni zamu ya Mijjinga al maarufu Shed. Anaingia akiwa na makabrasha yake huku akiwa ameniga...
10 years ago
Tanzania Daima22 Oct
Kijiwe kutoshiriki kura feki
WIKI iliyopita Kijiwe kilimkumbuka nguli mwalimu Julius Mchonga. Japo wale waliowatengeneza, kuwatengenezea na kuwaachia ulaji walimtosa baada ya kuwa wakimsanifu kila mwaka, sisi tulimkumbuka kwa dhati na kweli. Kwa kuendeleza...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Kijiwe chalaani milipuko Arusha
BAADA ya kupata taarifa za kuhuzunisha kuhusu shambulio jingine jijini Arusha, kijiwe licha ya kutoa salamu kwa wahanga, kinalaani ushenzi huu unaopaswa kukomeshwa badala ya kuzoeleka. Pamoja na maswali mengine...
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Kijiwe chalaani umafia wa EWULA
BAADA ya kunyaka habari za kunyotoana roho kunakofanywa na wanaotuibia, Kijiwe kimekaa kutoa tamko. Msomi Mkatatamaa ndiye anayelianzisha baada ya kuingia. “Waheshimiwa mnaona na kushuhudia yale ambayo nimekuwa nikionya mara...
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Kijiwe kumchukulia hatua Lukuviii
BAADA ya Waziri Bill Lukuviii kutangaza mapinduzi dhidi ya mamlaka ya wachovu, kijiwe kimekaa kama kamati kumpa vipande vyake pamoja na kumtaka bosi wake amwajibishe kabla wana kijiwe hawajamtokea na...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Kijiwe chalaani uhuni mjengoni
BAADA ya mura Were-maa anayeitwa jaji na mwanasheria mkubwa kulikoroga huku wakubwa zake wakikenua, kijiwe kimeamua kujitoa kimasomaso na kulaani uhuni wake na wa wenzake, hasa wale wanaomkingia kifua au...