Kijiwe chashtukia EPA mpya
SIKU hizi kijiwe kimegeuka FBI ya kaya. Kila inapotokea skandali lazima mmoja wetu awepo. Leo ni zamu ya Mijjinga al maarufu Shed. Anaingia akiwa na makabrasha yake huku akiwa ameniga...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
Kijiwe chashtukia usanii wa Nyaranduu
MPEMBA anaingia na Newspaper ya Danganyika Always. Kama ada, anaamkua na kuagiza kahawa tayari kushiriki kikao. Anaonekana kuwa na jambo linalomkera. Anaanza, “Wallahi hii kaya mie yanshida. Mmensikia huyo mjivuni...
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Kijiwe chajadili IpTL
BAADA ya kushuhudia hila, ghilba, minyukano na mizengwe kuhusiana na sakata zima la wizi wa fedha ya wachovu chini ya kashfa ya Esrew uliofanywa na baadhi ya wanene wasiogusika, Kijiwe...
11 years ago
Michuzi11 Feb
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Kijiwe chamshukia Mkamia magazeti
LEO tena Mgosi Machungi amekuja kijiweni bila gazeti. Anaonyesha waziwazi alivyokerwa na huu ushenzi wa kutishia kufungia vyombo vya umbea kutokana na kukataa kulala kitanda kimoja na mafisadi walioko kwenye...
10 years ago
Tanzania Daima29 Oct
Kijiwe chalaani upogo wa vigogo
LEO Mgosi Machungi anaonekana ana usongo na jambo. Alivyoingia mwenye mawazo, si bure. Baada ya kujiridhisha kuwa ni wakati muafaka kusema linalomsimbu, anaangalia huku na kule kujihakikisha kuwa wote tuko...
11 years ago
Tanzania Daima30 Apr
Kijiwe kuliambia Bunge si kuliombea
BAADA ya kijiwe kusikia baadhi ya wababaishaji, wataka sifa na wachovu eti kuombea Bunge la Katiba lililoharibikiwa, kimeamua kukaa na kuwakemea wote waombaji na waombewa. Mgosi Machungi anaingia na salamu...
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Kijiwe chalaani uhuni mjengoni
BAADA ya mura Were-maa anayeitwa jaji na mwanasheria mkubwa kulikoroga huku wakubwa zake wakikenua, kijiwe kimeamua kujitoa kimasomaso na kulaani uhuni wake na wa wenzake, hasa wale wanaomkingia kifua au...
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Kijiwe chalaani umafia wa EWULA
BAADA ya kunyaka habari za kunyotoana roho kunakofanywa na wanaotuibia, Kijiwe kimekaa kutoa tamko. Msomi Mkatatamaa ndiye anayelianzisha baada ya kuingia. “Waheshimiwa mnaona na kushuhudia yale ambayo nimekuwa nikionya mara...
11 years ago
Tanzania Daima23 Apr
Kijiwe kumchukulia hatua Lukuviii
BAADA ya Waziri Bill Lukuviii kutangaza mapinduzi dhidi ya mamlaka ya wachovu, kijiwe kimekaa kama kamati kumpa vipande vyake pamoja na kumtaka bosi wake amwajibishe kabla wana kijiwe hawajamtokea na...