Kijiwe chalaani upogo wa vigogo
LEO Mgosi Machungi anaonekana ana usongo na jambo. Alivyoingia mwenye mawazo, si bure. Baada ya kujiridhisha kuwa ni wakati muafaka kusema linalomsimbu, anaangalia huku na kule kujihakikisha kuwa wote tuko...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
Kijiwe chalaani uhuni mjengoni
BAADA ya mura Were-maa anayeitwa jaji na mwanasheria mkubwa kulikoroga huku wakubwa zake wakikenua, kijiwe kimeamua kujitoa kimasomaso na kulaani uhuni wake na wa wenzake, hasa wale wanaomkingia kifua au...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Kijiwe chalaani milipuko Arusha
BAADA ya kupata taarifa za kuhuzunisha kuhusu shambulio jingine jijini Arusha, kijiwe licha ya kutoa salamu kwa wahanga, kinalaani ushenzi huu unaopaswa kukomeshwa badala ya kuzoeleka. Pamoja na maswali mengine...
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Kijiwe chalaani umafia wa EWULA
BAADA ya kunyaka habari za kunyotoana roho kunakofanywa na wanaotuibia, Kijiwe kimekaa kutoa tamko. Msomi Mkatatamaa ndiye anayelianzisha baada ya kuingia. “Waheshimiwa mnaona na kushuhudia yale ambayo nimekuwa nikionya mara...
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Kijiwe chalaani vitisho ufujaji na urushi
BAADA ya Joni Kombo kuchafua hewa kwa kutishia kwenda msituni kupigania upuuzi, kijiwe leo kimekaa kama kamati ya kulaani upuuzi huu. Pia kinalaani kauli mbili za Njaa Kaya za kudai...
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Kijiwe chalaani uhuni dhidi ya Warioba
JAPO nguli Jose Shinda Warioba si mwanakijiwe wetu, huwa tunamzimii hasa kwa utaua na usafi wake ukiachia mbali ujasiri wake wa kupambana na ufisadi na ushenzi hasa uchakachuaji wa Katiba....
11 years ago
Tanzania Daima13 Aug
Kijiwe chaunda UKAWA na Akawo chalaani tuzo
BAADA ya matumaini ya kupatikana Katiba mpya kupotea kutokana na woga na ujinga wa baadhi ya wadau wasiotaka kuutema ulaji, Kijiwe kimeamua kuingilia kati kukwamua mchakato tena kwa bei nafuu na...
11 years ago
Michuzi11 Feb
10 years ago
Tanzania Daima19 Nov
Kijiwe chajadili IpTL
BAADA ya kushuhudia hila, ghilba, minyukano na mizengwe kuhusiana na sakata zima la wizi wa fedha ya wachovu chini ya kashfa ya Esrew uliofanywa na baadhi ya wanene wasiogusika, Kijiwe...
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
Kijiwe chashtukia EPA mpya
SIKU hizi kijiwe kimegeuka FBI ya kaya. Kila inapotokea skandali lazima mmoja wetu awepo. Leo ni zamu ya Mijjinga al maarufu Shed. Anaingia akiwa na makabrasha yake huku akiwa ameniga...