Kikombe cha babu hakina athari
SERIKALI imesema dawa ya asili ya Mchungaji Ambilikile Mwasapila wa Loliondo, mkoani Arusha ‘kikombe cha babu’ haikuwa na madhara kwa watumiaji. Dawa hiyo haikuthibitishwa kama kweli ilikuwa na uwezo wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 May
Baada ya Kikombe cha Babu, dhahabu yaibuka Samunge
10 years ago
Mwananchi12 Jun
Mayai ya kwale kama kikombe cha Babu, Serikali iko kimya
11 years ago
Michuzi24 Feb
11 years ago
Habarileo07 Feb
‘Chakula cha GMO hakina madhara kwa binadamu’
MTAFITI Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Dk Nicholas Nyange amehakikishia Watanzania kuwa chakula kinachotokana na mazao ya uhandisi tete (GMO), hakina madhara kwa binadamu, kwa sababu Watanzania wengi wameshatumia chakula hicho.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/--mMv7GI_-wk/Uwpz_HfRxuI/AAAAAAAFPK4/nuWXfvFSMLs/s72-c/IMG_1598.jpg)
kikombe cha chai
![](http://3.bp.blogspot.com/--mMv7GI_-wk/Uwpz_HfRxuI/AAAAAAAFPK4/nuWXfvFSMLs/s1600/IMG_1598.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 May
Kituo cha Afya Ndago hakina huduma za upasuaji kwa miaka mitano
Jengo la kituo cha afya cha tarafa ya Ndago, wilayani Iramba, Mkoani Singida ambacho licha ya kutokuwa na huduma za upasuaji, lakini vile vile kituo hicho hakina usafiri wa gari la wagonjwa kwa miaka mine sasa huku gari lililokuwa limepangiwa katika kituo hicho kutumiwa na watendaji wa wilaya hiyo.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na Jumbe Ismailly, Iramba
KITUO cha afya cha tarafa ya Ndago,wilayani Iramba,Mkoani Singida hakina huduma za upasuaji kwa miaka mitano sasa licha ya jengo la kutolea...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0atGmsdmURQHBOua3v8UPIFWzoELSSQHTIQeO*Vdlmsl*SFAL0l27INlowc03eKbtJWYEWI3PkIRnrY5gL-wLDHrHi75h2mq/wpidlulu.jpg)
LULU NA KISA CHA MAISHA YA MVUNJA KIKOMBE!
10 years ago
Bongo Movies30 Apr
Lulu na Kisa cha Maisha ya Mvunja Kikombe!
SIKU za hivi karibuni imekuwa ikiripotiwa mtafaruku uliopo kati ya staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mama wa aliyekuwa nyota wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa.Miongoni mwa mambo yanayozua hali hiyo, kwa mujibu wa mama Kanumba, ni kitendo cha Lulu kumsahau kama ‘mama’ yake na hivyo kukiuka ‘kiapo’ cha awali cha Lulu kumchukulia mama Kanumba katika udugu wa umama.
Kiapo hiki kiliwekwa siku chache baada ya Lulu kuachiwa kwa dhamana akitoka kwenye Gereza la...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jan
Waimbaji Injili wakipitie mbali kikombe cha utapeli
NIMEKUWA nikiandika uchambuzi wa maoni juu ya waimbaji wa muziki wa Injili, ambapo pamoja na kazi nzuri wanayoifanya ya kufikisha ujumbe wa Neno la Mungu kwa njia ya kuburudisha, baadhi...