Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baada ya Kikombe cha Babu, dhahabu yaibuka Samunge

>Maelfu ya watu wamemiminika tena katika eneo la Samunge, Wilaya ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha, safari hii siyo kunywa Kikombe cha Babu Mchungaji Ambilikile Mwasapile, bali kupata dhahabu inayodaiwa kugundulika  katika eneo hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kikombe cha babu hakina athari

SERIKALI imesema dawa ya asili ya Mchungaji Ambilikile Mwasapila wa Loliondo, mkoani Arusha ‘kikombe cha babu’ haikuwa na madhara kwa watumiaji. Dawa hiyo haikuthibitishwa kama kweli ilikuwa na uwezo wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mayai ya kwale kama kikombe cha Babu, Serikali iko kimya

Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na gumzo kubwa hapa nchini na hata nje ya nchi juu ya tiba ya kimaajabu maarufu kama ‘kikombe cha babu.’

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Dhahabu ya Samunge ni Alluvium’

KAMISHNA wa Madini Kanda ya Kaskazini, Alex Mayagane, amethibitisha kuwa madini yanayochimbwa kwenye Kijiji cha Mgongo, wilayani Ngorongoro ni dhahabu aina ya ‘alluvium’ . Alitoa kauli hiyo jana wakati akitoa taarifa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Dhahabu’ ya Samunge yatafitiwa

MKUU wa Wilaya ya Ngorongoro, Elias Wawa Lali, amesema kuwa wataalamu wa madini wanaendelea na utafiti kubaini endapo madini yanayoendelea kuchimbwa na wananchi kwenye maeneo ya milima na Mtoni kwenye...

 

10 years ago

Vijimambo

BAADA YA CHELSEA KUTWAA KIKOMBE CHA CAPITAL ONE WATOTO WA TERRY WALIFANYA KOMBE SANDWICH.

John Terry aliweka picha hii kwenye Instagram akionyesha kombe walilonyakua jana limelala katikati ya watoto wake sijuhi alikuwa na maana gani watoto walifanya kombe sandwich mambo ya ushindi hayo.John  Terry katikati akipongezwa na wenzie baada ya kufunga goli la kwanza katika mchezo huo wa final uliochezwa Wembley na kufanikiwa kuwafunga Tottenham 2 kwa 0 na kunyakua kikombe cha capital one jumapili.

 

11 years ago

Mwananchi

Utafiti wabaini milima ya Samunge imejaa dhahabu

Wataalamu wa Wizara ya Nishati na Madini, Kanda ya Kaskazini wamethibitisha uwepo wa hazina ya madini ya dhahabu katika Mlima Rankiroga na Mto Karabaline katika Kijiji cha Mgongo, Kata ya Samunge, Wilaya ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha.

 

9 years ago

Mwananchi

Babu wa Samunge:JPM awahakikishie wananchi huduma bora za afya

Tangu aingie madarakani Novemba5, Rais John Magufuli ameonyesha dhamira ya kufanya mabadiliko katika mfumo wa uongozi na utoaji wa huduma za kijamii ikiwemo sekta ya afya inayokabiliwa na changamoto kadhaa.

 

11 years ago

Habarileo

DC azungumzia ‘dhahabu’ ya Kwa Babu Loliondo

MKUU wa Wilaya ya Ngorongoro, Elias Lali amesema haijathibitishwa kama madini, yanayodaiwa kugundulika Kijiji cha Mgongo huko Samunge kuwa ni dhahabu au la. Amesisitiza kuwa idadi ya watu wanaofika wilayani hapo kusaka dhahabu ni ndogo, ikilinganishwa na iliyojitokeza enzi za `Kikombe cha Babu wa Loliondo’, Mchungaji Ambilikile Mwaisapile.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani