Utafiti wabaini milima ya Samunge imejaa dhahabu
Wataalamu wa Wizara ya Nishati na Madini, Kanda ya Kaskazini wamethibitisha uwepo wa hazina ya madini ya dhahabu katika Mlima Rankiroga na Mto Karabaline katika Kijiji cha Mgongo, Kata ya Samunge, Wilaya ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima28 May
‘Dhahabu ya Samunge ni Alluvium’
KAMISHNA wa Madini Kanda ya Kaskazini, Alex Mayagane, amethibitisha kuwa madini yanayochimbwa kwenye Kijiji cha Mgongo, wilayani Ngorongoro ni dhahabu aina ya ‘alluvium’ . Alitoa kauli hiyo jana wakati akitoa taarifa...
11 years ago
Tanzania Daima24 May
‘Dhahabu’ ya Samunge yatafitiwa
MKUU wa Wilaya ya Ngorongoro, Elias Wawa Lali, amesema kuwa wataalamu wa madini wanaendelea na utafiti kubaini endapo madini yanayoendelea kuchimbwa na wananchi kwenye maeneo ya milima na Mtoni kwenye...
11 years ago
Mwananchi21 May
Baada ya Kikombe cha Babu, dhahabu yaibuka Samunge
10 years ago
Mwananchi29 Apr
Utafiti mpya wabaini ‘Panya Road’ bado tishio
10 years ago
Mwananchi23 Oct
RC aomba vituo vya utafiti na taarifa za milima
10 years ago
MichuziWAKALA WA JIOLOJIA TANZANIA , YAFANIKIWA KUKAMILISHA UTAFITI WA KUTENGENEZA VIKOMBE VYA KUPIMIA DHAHABU(CRUSIBLE)
Wakala wa Jiolojia Tanzania , umefanikiwa kupunguza gharama za upimaji wa sampuli za dhahabu katika maabara yake kwa kufanikiwa kwa asilimia mia moja kuweza kutengeneza vikombe vya kupimia dhahabu (Crusible) ndani ya maabara yake ya Jiolojia mkoani Dodoma.
Kwa mujibu wa mtaalam wa Jioloji katika Maabara ya GST, Bw. Philipo Momburi alieleza kuwa hapo awali maabara ilikuwa inaagiza vikombe vya kupimia dhahabu maabara kutoka nje ya nchi , jambo ambalo lilikuwa likiingiza taasisi...
10 years ago
GPLPOLEPOLE: KATIBA MPYA IMEJAA UONGO-2
10 years ago
Tanzania Daima10 Oct
‘Katiba ya Sitta imejaa ubabe, maswali mengi’
WANAHARAKATI nchini wamesema pamoja na Rais kupokea Katiba iliyopendekezwa, bado wanaona ni ya kibabe huku ikiacha maswali mengi kwa watanzania. Akizungumza na Tanzania Daima, Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na...
10 years ago
Mwananchi18 Aug
Mbatia asema kauli ya Werema imejaa unafiki