Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC aomba vituo vya utafiti na taarifa za milima

Serikali ya Tanzania imeomba mashirika ya uhifadhi wa milima ya kimataifa kusaidia kuanzisha vituo vya utafiti na taarifa katika Mlima Kilimanjaro na Meru, ili kubaini mapema athari za volcano na uharibifu wa mazingira kabla ya kuleta maafa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Utafiti Twaweza waanika uozo katika vituo vya afya nchini

Ni mtu mmoja kati ya watu 20 wenye umri zaidi ya miaka 60, na mtoto mmoja kati ya watano wenye umri chini ya miaka mitano wanaopata huduma na matibabu bure, kwa mujibu wa utafiti wa Taasisi ya Twaweza.

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Mwananchi

Utafiti wabaini milima ya Samunge imejaa dhahabu

Wataalamu wa Wizara ya Nishati na Madini, Kanda ya Kaskazini wamethibitisha uwepo wa hazina ya madini ya dhahabu katika Mlima Rankiroga na Mto Karabaline katika Kijiji cha Mgongo, Kata ya Samunge, Wilaya ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha.

 

9 years ago

Michuzi

MFUMO WA UTUNZAJI WA TAARIFA ZA VITUO VYA AFYA TANZANIA BARA WAZINDULIWA LEO JIJI DAR

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Donani Mmbando  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya  Mfumo uhifadhi na kutoa taarifa za zituo vya Afya kituo tangu kinapojengwa, atakikifunguliwa na hata kinapofungwa, leo Jjijini Dar es salaam. Wanahabari wa kimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Donani Mmbando leo jijini Dar es salaam.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

StarTV

Wananchi wavamia vyanzo vya maji vya Milima ya Amani Tanga.

Na Mbonea Herman,

Tanga.

 

Wakati Serikali ikiwa imepiga marufuku uvunaji wa misitu na uchimbaji wa madini kwenye vyanzo vya maji vya milima ya Amani, jitihada hizo zimeonekana kugonga mwamba baada ya shughuli hizo kuanza tena kwa kasi.

 

Shughuli za madini na uvunaji wa mbao katika milima ya Amani wilayani Muheza mkoani Tanga huenda zikasababisha ukosefu wa maji kuendelea katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo na jiji la Tanga kwa ujumla.

 

Maji ni uhai na pia ni muhimu kwa maisha ya kila...

 

10 years ago

Michuzi

taarifa mbali mbali kutoka vituo mbalimbali vya televisheni na simu tv


Kwa taarifa mbali mbali kutoka vituo mbalimbali vya televisheni BOFYA HAPA

 

9 years ago

Vijimambo

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YAZINDUA MFUMO WA UTUNZAJI WA TAARIFA ZA VITUO VYA AFYA TANZANIA BARA

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donan Mmbando (kulia), akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa mfumo wa taarifa ya vituo vya afya nchini uliofanyika Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Tehama wa   wizara hiyo, Hermes Rulagirwa na Ofisa wa Tehama, Kenani Mwansasu. Hapa ni kupongezana baada ya uzinduzi huo.
 Mkuu wa Kitengo cha Tehama wa   wizara hiyo, Hermes Rulagirwa (kulia), akizungumza na wanahabari. Wadau mbalimbali wa sekta ya Afya wakiwa kwenye...

 

10 years ago

Dewji Blog

MISA-TAN yaadhimisha siku ya kimataifa ya haki ya kupata taarifa na kutoa matokeo ya utafiti wa upatikanaji wa taarifa kwenye ofisi za umma nchini Tanzania‏‎

Mkurugenzi  wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Simon Berege (kushoto) akiwakaribisha wageni waalikwa na waandishi wa habari waliofika kwenye mkutano wao uliofanyika jana kwenye ofisi za MISA Tanzania  zilizopo jijini Dar es Salaam. Kulia ni  Mkurugenzi msaidi wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Andrew Marawiti. Misa-Tanzania-Media Institute of...

 

9 years ago

Dewji Blog

MISA-TAN:Yasherekea Siku ya Kimataifa ya Haki ya kupata taarifa na kuzindua utafiti wa kupata taarifa Ofisi za Umma

Afisa Utafiti na Maelezo wa Misa-Tanzania-Media Institute of Southern Africa (Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika) Bwana Sengiyumva Gasirigwa (wa kwanza kushoto) akitoa ufafanuzi alipokuwa anafungua mkutano huo kwa waandishi wa habari na wageni waalikwa kutoka kwenye taasisi mbalimbali za Serikali kwenye siku ya kimataifa ya haki ya kupata taarifa ambayo uadhimishwa Septemba 28 kwa kila mwaka.

Mwenyekiti msaidi wa Taasisi ya vyombo vya habari Kusini mwa Afrika (MISA-TAN), Bwana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani