Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


POLEPOLE: KATIBA MPYA IMEJAA UONGO-2

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzania Youth Coalition (TYC), Humphrey Polepole. Watu wengi wamekuwa wakiichambua Katiba Iliyopendekezwa  ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inatarajiwa kupigiwa kura ya ndiyo au hapana na Watanzania Aprili 30, mwaka huu kama alivyotangaza Rais Jakaya Kikwete. Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzania Youth Coalition (TYC), Humphrey Polepole anaendelea kuichambua katiba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

‘Katiba ya Sitta imejaa ubabe, maswali mengi’

WANAHARAKATI nchini wamesema pamoja na Rais kupokea Katiba iliyopendekezwa, bado wanaona ni ya kibabe huku ikiacha maswali mengi kwa watanzania. Akizungumza na Tanzania Daima, Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na...

 

10 years ago

Mwananchi

POLEPOLE: Mambo 70 muhimu ya wananchi yaliyofutwa katika Katiba Inayopendekezwa-2

>Wiki iliyopita tulianza kukuletea mambo 70 muhimu ya wananchi yaliyofutwa katika Katiba Inayopendekezwa. Mambo haya yalikuwa kwenye rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ambayo Mwenyekiti wake alikuwa Jaji Joseph Warioba. Leo tunaendelea na maeneo mengine 20.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAMBUZI WA POLEPOLE: Mambo 70 muhimu ya wananchi yaliyofutwa katika Katiba Inayopendekezwa

>Wananchi walipendekeza madaraka makubwa ya Rais hasa ya uteuzi yapunguzwe na ziundwe taasisi za kikatiba za kumshauri rais kabla hajafanya teuzi. Wananchi walipendekeza pia baada ya rais kumteua kiongozi basi itabidi mteuliwa huyo Bunge limthibitishe.

 

11 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTIZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA


Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa JUKWAA LA KATIBA juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo. Picha na Cathert Kajuna wa Kajunason Blog
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Wajumbe wa JUKWAA LA KATIBA...

 

11 years ago

GPL

WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WATAKIWA KUWA NA MTAZAMO MPYA UTAKAOWEZESHA UPATIKANAJI WA KATIBA MPYA

Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba, Bw. Deus Kibamba akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jana Julai 17, 2014 kuelezea msimamo wa jukwaa la katiba juu ya mwenendo uliopita wa bunge hilo.
Kiongozi wa Shule Kuu ya Sheria nchini Kenya, Profesa Patrick Lumumba alisisitiza suala la wanasiasa kurudi bungeni na kuhakikisha katiba mpya inapatikana.…
...

 

10 years ago

Dewji Blog

Watanzania tupuuze habari za Uongo, uzushi, Ukipata ujumbe wa chuki, matusi au uongo, FUTA DELETE KABISA!

1005224_161118974079176_1902408761_n

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Wasomaji wa Mo dewji blog mnaoendelea kuperuzi mtandao huu bila shaka ni wazima wa afya, tunashukuru uwepo wenu na kutembelea kwenu kwenye mtandao huu ndio faraja kwetu sote sie tunaowapasha habari na kwenu mnaopokea habari, tupo pamoja.

Tahariri ya leo Machi 10,  Tunazungumzia namna ya jinsi Tanzania tunavyopiga hatua moja hadi nyingine hasa katika masuala ya TEKOHAMA/ICT.. Hasa kupitia mitandao yaani Intaneti.

Hata hivyo licha ya kuwa huru kwa kila mmoja...

 

10 years ago

Mwananchi

KATIBA MPYA: Wingu linavyogubika hatima Mchakato wa Katiba Mpya

>Bado hakuna mwafaka kuhusu hatima ya Katiba Mpya, baada ya kuahirishwa kwa upigaji Kura ya Maoni iliyopaswa ifanyike Aprili 30 mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

MCHAKATO WA KATIBA MPYA: Katiba Mpya ilivyoligawa Taifa

>Wahenga walisema dalili ya mvua ni mawingi. Usemi huo umejidhihirisha kwenye mchakato wa mabadiliko ya Katiba ambao tayari umeonyesha kuligawa taifa katika makundi matatu; Serikali, taasisi za dini na vyama vya siasa.

 

10 years ago

Mwananchi

Madaraka ya Bunge sasa, katika Rasimu ya Katiba Mpya na Katiba inayopendekezwa

Natambua kwamba bado tuna joto la sakata la “escrow” ambalo hata baada ya Mkuu wa Nchi Rais Jakaya Kikwete kulifafanua na hata kama hujui kusoma upepo kiasi gani utakuwa umegundua na utaungana nami kwamba bado wananchi wamegawika kabisa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani