KIKWETE AIPONGEZA BRELA KWA USAJILI WA KISASA
![](http://3.bp.blogspot.com/-WnyBEbtezs8/Ve0LwS0CcOI/AAAAAAAH26g/aV2D-wsBT7s/s72-c/images.jpg)
Na Mwandishi wetu, Dar es SalaamRais Jakaya Kikwete (Pichani)ameridhishwa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kwa hatua iliyofikiwa ya kuweza kusajili jina la biashara kwa njia ya mtandao na kupata cheti ndani ya saa moja.
“Hatua hii ya BRELA ni nzuri, wanastahili pongezi na wengine waige,” alisema Dkt. Kikwete kwenye mkutano wa Nane wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) hivi karibuni jijini Dar es Salaam.
Pongezi za Dkt. Kikwete zilikuja wakati wa kipindi cha majadiliano juu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
Brela yarahisisha usajili jina la biashara
WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) umetangaza kupunguzwa kwa muda wa usajili wa jina la biashara. Sasa usajili wa jina la biashara utafanyika kwa saa nane za kazi...
10 years ago
Michuzi25 Jun
9 years ago
Habarileo03 Oct
Kikwete azindua usajili biashara kwa mtandao
RAIS Jakaya Kikwete amezindua huduma ya usajili jina la biashara kwa njia ya mtandao inayotolewa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni Nchini (BRELA), ambayo imeondoa mazingira ya rushwa na kuokoa muda.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lv0ys3pR-sE/U1kfUPhQuAI/AAAAAAAFcpo/LUbHaHjqi0A/s72-c/ko3.jpg)
RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA HOSPITALI KUBWA NA YA KISASA YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI KISASA KIJIJINI MLOGANZILA
![](http://3.bp.blogspot.com/-lv0ys3pR-sE/U1kfUPhQuAI/AAAAAAAFcpo/LUbHaHjqi0A/s1600/ko3.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-b-9rLuTAafY/U1kfVLo73AI/AAAAAAAFcpw/EFC0qCv_Fcw/s1600/ko4.jpg)
10 years ago
Michuzi01 Oct
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Brela yatoa siku 90 kwa makampuni
Na Mwandishi wetu
WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) umetoa siku 90 kwa wamiliki na wakurugenzi wa makampuni kuwasilisha taarifa zao za mwaka za mahesabu zilizokaguliwa na Mhasibu anayetambuliwa kisheria, vinginevyo kampuni zao zitafutwa na wao kuchukuliwa hatua za kisheria.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa wakala huo na Msajili wa Makampuni, Frank Kanyusi, aliwaambia waandishi wa habari jiji Dar es Salaam jana kuwa wamiliki na wakurugenzi hao wa makampuni wanatakiwa kutumia siku hizo...
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Brela yatoa siku 90 kwa kampuni kuwasilisha hesabu
10 years ago
Habarileo06 Sep
Kikwete ataka jeshi dogo, la kisasa
SERIKALI iko katika mkakati madhubuti wa kuliboresha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ili kuwa na jeshi dogo lenye maslahi bora, silaha za kisasa zinazokwenda na wakati na kuwa na vyombo vya usafiri vya barabarani, angani na majini.