News alert: bei mpya za usajili makampuni na majina ya biashara Brela kuanzia Tarehe 1 Julai.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Brela na harakaki za kusajili majina ya biashara
HIVI karibuni, kuhusu Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kupitia Ofisa Mtendaji Mkuu wake na Msajili wa Makampuni, Frank Kanyusi ilitangaza siku 90 kwa wamiliki na wakurugenzi wa...
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
Brela yarahisisha usajili jina la biashara
WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) umetangaza kupunguzwa kwa muda wa usajili wa jina la biashara. Sasa usajili wa jina la biashara utafanyika kwa saa nane za kazi...
5 years ago
CCM BlogMAONESHO YA 44 YA KIMATAIFA YA BIASHARA KUANZA TAREHE 1-13 JULAI, 2020, UWANJA WA MWALIMU. J.K. NYERERE
Wizara ya Viwanda na Biashara kupitia Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) inapenda kuwataarifu Taasisi za Umma, Sekta Binafsi, Jumuiya za Wafanyabiashara na Wananchi wote kwa ujumla kuwa inaendelea na maandalizi ya Maonesho ya 44 ya Biashara ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yanayotarajiwa kuanza tarehe 1 hadi 13 Julai, 2020 katika Uwanja wa Maonesho wa Mwl. J. K. Nyerere, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam.
Lengo la Maonesho haya ni kutoa fursa ya kutafuta masoko ya...
10 years ago
MichuziWARSHA YA KISAYANSI KUHUSU HUDUMA ZA HALI YA HEWA KUPITIA MODELI YA ‘PRECIS’, KUANZIA TAREHE 29 JUNI HADI 3 JULAI 2015, DAR ES SALAAM, TANZANIA.
10 years ago
MichuziNews alert: Majina yatakayowania Tuzo za Watu 2015 yatangazwa
Zoezi la kupiga kura linafunguliwa rasmi Jumamosi hii, April 24.
Haya ndio majina matano yaliyoingia kwenye tano bora:
Mtangazaji wa redio anayependwa TZW1
Dida – Times FMD’Jaro Arungu – TBC FMDiva – Clouds FMMariam Kitosi – Times FMMillard Ayo –...
11 years ago
Michuzinews alert: Majina ya wajumbe wa Bunge maalumu la katiba yatangazwa leo
11 years ago
Michuzi12 May
KONGAMANO LA UWEZESHAJI BIASHARA KWA NCHI CHANGA ZA AFRIKA KUANZIA TAREHE 14 MPAKA 16 MEI, 2014-MWANZA.
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Brela yatoa siku 90 kwa makampuni
Na Mwandishi wetu
WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) umetoa siku 90 kwa wamiliki na wakurugenzi wa makampuni kuwasilisha taarifa zao za mwaka za mahesabu zilizokaguliwa na Mhasibu anayetambuliwa kisheria, vinginevyo kampuni zao zitafutwa na wao kuchukuliwa hatua za kisheria.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa wakala huo na Msajili wa Makampuni, Frank Kanyusi, aliwaambia waandishi wa habari jiji Dar es Salaam jana kuwa wamiliki na wakurugenzi hao wa makampuni wanatakiwa kutumia siku hizo...
10 years ago
Bongo Movies19 Dec
Bei Mpya za CD Kuanzia Mwakani 2015
Baadhi ya waigizaji na wadau wanaofanya kazi na kampuni ya Steps Entertainment , leo asubuhi walitambulisha bei mpya na muonekano mpya wa DVD covers za filamu zao kwenye ukumbi wa habari maelelzo.
Ambapo wameseama kuanzia mwezi wa pili mwakani CD moja iauzwa shilingi 1500 kwa bei ya rejareja badala ya shilingi 3000.
Mbali na hayo wasanii waliazimia kuendeleza harakati za kupambana na wezi wa kazi zao.
Una maoni gani juu ya hili.