Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Brela na harakaki za kusajili majina ya biashara

HIVI karibuni, kuhusu Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kupitia Ofisa Mtendaji Mkuu wake na Msajili wa Makampuni, Frank Kanyusi ilitangaza siku 90 kwa wamiliki na wakurugenzi wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mbeya wahimizwa kusajili majina ya biashara zao

WAFANYABIASHARA mkoani Mbeya, wametakiwa kusajili majina ya biashara zao kama moja ya njia ya kuzirasimisha na hatimaye kuwa na uwezo wa kufaidika na huduma za kibenki. Rai hiyo ilitolewa mjini...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Brela yarahisisha usajili jina la biashara

WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) umetangaza kupunguzwa kwa muda wa usajili wa jina la biashara. Sasa usajili wa jina la biashara utafanyika kwa saa nane za kazi...

 

5 years ago

Michuzi

BRELA YAWATAKA MAMA LISHE KURASIMISHA BIASHARA ZAO

Wakala ya Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imewahimiza Mama lishe wa Mkoa wa Pwani kurasimisha biashara zao kwa kuzisajili ili waweze kulinda biashara zao na kupata fursa mbalimbali.

Rai hiyo imetolewa katika Tamasha la Mama Lishe festival lililofanyika siku ya jana tarehe 28 Februari 2020, kwenye Viwanja vya Shule ya Sekondari Chanzige, Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.

Akizungumza katika Tamasha hilo Msaidizi wa Usajili Mwandamizi kutoka BRELA, Bi. Leticia Zavu amebainisha kwamba mara...

 

11 years ago

Mwananchi

Namna ya kusajili biashara yoyote

Imekuwa ni kawaida kwa watu hapa nchini kufanya biashara bila kufuata taratibu na kanuni za kisheria.

 

11 years ago

Mwananchi

Umuhimu na jinsi ya kusajili alama za biashara

Watanzania wengi tunamiliki biashara; tunazipa majina mbalimbali biashara au huduma zetu. Baada ya muda huduma au biashara unayoendesha inakuwa bora kila mtu anaipenda.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Brela yawafunda wafanyabiashara Songea

WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni nchini (Brela) imeendelea kuwasisitiza wafanyabiashara kujitokeza kusajili majina ya biashara zao, ili ziweze kurasimishwa. Akizungumza kwenye semina ya kuwajengea uwezo wafanyabiashara mjini hapa...

 

10 years ago

TheCitizen

Register your business in only 8 hours: Brela

>It is now possible to register a company in Tanzania in just eight hours, the Business Registration and Licensing Agency (Brela) has said.

 

10 years ago

Mwananchi

Wapinzani walia na Brela bungeni

>Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni imelia na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) kuwa imekataa kutoa majina ya wamiliki wa Kampuni ya Simba Trust Ltd inayomiliki asilimia 50 ya hisa za Kampuni ya PAP iliyohusika katika sakata la ukwapuaji wa fedha zaidi ya Sh300 bilioni  kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani