Kikwete awakumbusha mbali, awapa nasaha
RAIS Jakaya Kikwete, Mama Maria Nyerere na Vicky Nsilo Swai, jana walikuwa miongoni mwa wanafamilia wachache duniani, walioalikwa kuhudhuria maziko ya kifamilia ya mpiganaji vita dhidi ya ubaguzi wa rangi, Nelson Mandela.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziTASWIRA MBALI MBALI ZA ZIARA YA RAIS KIKWETE NCHINI UHOLANZI
11 years ago
MichuziRais Kikwete awaongoza viongozi mbali mbali na mamia ya waombolezaji kumfariji Mh. Sophia Simba kwa kufiwa na Mwanae Leeford Simba
11 years ago
Uhuru Newspaper06 Aug
Kikwete awapa somo Wamarekani
Na mwandishi wetu
RAIS Jakaya Kikwete ameitaka sekta binafsi na wafanyabiashara wa Marekani kujifunza kutoka kwa wenzao wa Bara la Asia, ambao wameongeza uwekezaji barani Afrika.
Amesema hatua hiyo inatokana na kuwa wawekezaji hao wanapata taarifa sahihi na za ukweli kupitia vyombo mbalimbali.
Aidha, Rais Kikwete amesema pingamizi kubwa la kufanya biashara kati ya Marekani na Afrika sio tena Bahari ya Atlantic ama umbali, bali ni maono hasi yanayojengwa na vyombo vya habari vya Marekani kuhusu...
9 years ago
Mwananchi24 Oct
Dk Magufuli awapa pole Kikwete, Mkapa
11 years ago
Dewji Blog08 May
Rais Kikwete awapa rambirambi Wanigeria
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametoa salamu za rambirambi na pole nyingi kwa Rais wa Jamhuri ya Nigeria Mheshimiwa Goodluck Jonathan na wananchi wa Nigeria kufuatia mfululizo wa vitendo vya ugaidi ambavyo vimepoteza maisha ya maelefu ya wananchi wa nchi hiyo na kutekwa nyara kwa mamia ya watu wakiwemo wanafunzi wa kike wa sekondari.
Katika salamu zake za pole kwa Rais Jonathan, Rais Kikwete amesema: “Napenda kutoa salamu za rambirambi na pole...
10 years ago
VijimamboRais Kikwete awapa Futari Watoto Yatima
10 years ago
Habarileo20 Oct
Kikwete awapa somo waandishi habari Afrika
RAIS Jakaya Kikwete amewataka waandishi wa habari barani Afrika kutokujihusisha na rushwa, ili wawe na nguvu za kutosha za kiroho kuwanyoshea vidole watu wengine. Aidha, amesema kuwa wingi wa vyombo vya habari nchini unathibitisha kuwa Serikali yake inaendelea kulea na kukuza uhuru wa vyombo vya habari ambavyo vina uhuru wa kusema lolote bila kuingiliwa na serikali.
9 years ago
Habarileo17 Oct
Kikwete amlilia Makaidi, awapa pole NLD
RAIS Jakaya Kikwete amekitumia Chama cha National League for Democracy (NLD) salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Dk Emmanuel Makaidi ambaye ameaga dunia katika Hospitali ya Mkoa wa Lindi.
10 years ago
Habarileo29 Jun
Rais Kikwete awapa wosia wa amani viongozi wa dini
RAIS Jakaya Kikwete amewaomba viongozi wa dini nchini kuendeleza hali ya amani na utulivu uliopo nchini kwa kuhakikisha kuwa nchi inabaki na amani, kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25, mwaka huu, 2015.