Kikwete kuhutubia Baraza Kuu UN
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete ameondoka nchini kuanza ziara ya wiki mbili nchini Marekani ambapo atahutubia Mkutano wa 69 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi08 Feb
11 years ago
Michuzi08 Feb
11 years ago
Michuzi08 Feb
11 years ago
Michuzi08 Feb
10 years ago
Habarileo09 Jul
Kikwete kuhutubia Bunge leo
BUNGE la 10 linamaliza shughuli zake leo kabla ya Rais Jakaya Kikwete kulihutubia na kulivunja mjini hapa. Rais atahutubia Bunge hilo saa 10:00 jioni baada ya kukagua gwaride la heshima, lililoandaliwa na Jeshi la Polisi katika viwanja vya Bunge mjini hapa.
9 years ago
BBCSwahili02 Oct
Rais Kikwete kuhutubia Bunge la Kenya
10 years ago
Mtanzania19 Dec
Rais Kikwete kuhutubia taifa leo
Na Michael Sarungi, Dar es Salaam
RAIS Jakaya Kikwete, leo anatarajiwa kuhutubia taifa kupitia wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Katika mkutano wake huo utakaofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl, Ubungo jijini humo, pamoja na mambo mengine anatarajiwa kuzungumzia mwelekeo wa taifa.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Abilahi Mihewa, alithibisha kufanyika kwa mkutano huo.
“Unajua katika siku za hivi karibuni Rais alikuwa nje ya...
9 years ago
Habarileo07 Oct
Kikwete aaga Kenya kwa kuhutubia Bunge
RAIS Jakaya Kikwete amelihutubia Bunge la Kenya na kuwaaga wananchi wa Kenya huku akisisitiza ushirikiano kati ya Tanzania na Kenya kwamba utadumu milele. Aidha, amesema anaamini Wakenya watakuwa wamepata fundisho kutokana na machafuko yaliyotokana na uchaguzi wa mwaka 2007 na hawatarudia tena.