Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete kurejea Jumamosi

Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kurejea nchini Jumamosi, Novemba 29 baada ya taratibu za matibabu yake nchini Marekani kukamilika.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Watanzania walio nje washauriwa kurejea nyumbani kabla ya Jumamosi

"Watanzania walio nje ya nchi wabaki hukohuko ikizidi Jumamosi, watuache tupumue,"Hamad Rashid waziri wa Afya Zanzibar.

 

9 years ago

Michuzi

TAIFA STARS KUREJEA NCHINI LEO, YATARI KWA MTANANGE DHIDI YA MBWEHA WA JANGWANI JUMAMOSI HII

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager inarejea leo nyumbani kwa shirika la ndege la Fastjet, ambapo inatarajiwa kuwasili uwanja wa JK Nyerere majira ya saa 12 kamili jioni.
Stars iliyokuwa imeweka kambi nchini Afrika Kusini kwa takribani siku 10, inarejea nyumbani ikiwa imefanya mazoezi vizuri kujiandaa na kuwakabili Mbweha wa Jangwani Algeria siku ya Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Akiongelea kuhusu kambi kocha wa...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UHURU KENYATTA MJINI DUBAI WAKIWA NJIANI KUREJEA NYUMBANI

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC, Marekani, walikohudhuria Mkutano wa Marekani na Wakuu wa nchi wa Afrika ulioandaliwa na Rais Barack Obama. Mama Salma Kikwete akisalimiana na Rais Uhuru Kenyatta walipokutana katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Dubai waliposimama kwa muda wakiwa njiani kuelekea nyumbani wakitokea Washington DC,...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI KUPIGWA KESHO JUMAMOSI MANYARA PARCK CCM TANDALE JUMAMOSI MARCH 28

Bondia Yusuph Mkali kushoto akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho jumamosi ya march 28 katika ukumbi wa manyara parck uliopo tandale ccm Chirstopher Mzazi katikaki akiwainua juu mabondia Julius Kisalawe kushoto na Said Uwezo kwa ajili ya mpambano wao wa kesho jumamosi ya march 28 utakaofanyika katika ukumbi wa manyara parck ccm tandale Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
Mabondia Julius Kisalawe kutoka Ndame Clab...

 

10 years ago

Vijimambo

Darasa la Kiswahili DMV. Jumamosi hii na kila jumamosi

Darasa la Kiswahili hapa Washington DC na vitongoji vyake linaratibiwa na Jumuiya ya waTanzania ya hapa DMV
Sasa linafanyika kila Jumamosi kuanzia saa 9 kamili alasiri mpaka saa 11 kamili jioni
Anwani ni...
1700 April Lane,
 Silver Spring, MD 20904
KARIBUNI NYOTE

 

10 years ago

BBCSwahili

Mo Farah kurejea michezoni

Mo Farah ametamka kuwa anarejea ulingoni kwa mara ya kwanza baada ya kuwepo kwa tuhuma za matumizi ya dawa za kusisimua misuli

 

11 years ago

BBCSwahili

Beckham kurejea uwanjani

David Beckham amedokeza kuwa huenda akarejea uwanjani huko Marekani .

 

9 years ago

BBCSwahili

Pistorius kurejea mahakamani

Bingwa wa Olimpiki wa mbio za walemavu Oscar Pistorius anatarajiwa kurejea kortini leo kwa kikao cha kuomba apewe dhamana.

 

10 years ago

Vijimambo

Okwi kurejea Simba.

Mshambuliaji Emmanuel Okwi ambaye uhamisho wake daima umekuwa ukizungukwa na maswali kila aendako, ameingia katika utata mwingine baada ya ripoti mpya kudai kwamba alisaini mkataba wa miaka mitano wa kuichezea timu ya SønderjyskE licha ya timu hiyo ya Denmark kutotoa hata senti kwa klabu yake ya Simba.

Utata huo mpya umefuatia Wadenmark hao kutaka kumrejesha Okwi Simba kwa mkopo wa miezi sita baada ya kukwama kuipata leseni yake ya uhamisho ya kimataifa (ITC), ambayo Simba imesema haitaitoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani