Kilichomkuta kocha Jose Mourinho baada ya matokeo mabaya mfululizo…
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England, Chelsea wameendelea kuwa na bahati mbaya baada ya kuendelea kupata matokea mabaya mfululizo. Kilichonifikia leo ni kuhusu kocha wa klabu hiyo Jose Mourinho kufutwa kazi baada ya kuendelea na matokeo mabaya mfululizo…uamuazi huo unaufanya uongozi wa klabu hiyo kumlipa kiasi cha pauni milioni 40 kama sehemu ya mkataba wake. […]
The post Kilichomkuta kocha Jose Mourinho baada ya matokeo mabaya mfululizo… appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Baada ya kumtimua Jose Mourinho, Chelsea imetangaza kocha wa muda wa timu yao ….
Uongozi wa klabu ya Chelsea December 16 iliripotiwa kuweka kikao cha dharura kujadili mwenendo wa timu yao kwa sasa, Chelsea baada ya kukaa kikao hicho cha bodi, December 17 walitangaza rasmi kumfuta kazi Jose Mourinho na nafasi yake kubaki wazi. Stori mpya ni kuwa uongozi wa klabu ya Chelsea December 19 umetangaza rasmi kumteua kwa […]
The post Baada ya kumtimua Jose Mourinho, Chelsea imetangaza kocha wa muda wa timu yao …. appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Bongo517 Dec
Kocha Jose Mourinho atimuliwa Chelsea
![José Mourinho](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Jos%C3%A9-Mourinho-300x194.jpg)
Chelsea imemtimua meneja wake Jose Mourinho.
Kocha huyo raia wa Ureno mwenye miaka 52, alikuwa akiifundisha Chelsea kwa awamu ya pili kuanzia June 2013.
Chelsea imekuwa na msimu mbaya zaidi kwa kufungwa mechi 16 hadi sasa.
Pep Guardiola, Guus Hiddink, Brendan Rodgers na Juande Ramos ni majina yanayotajwa zaidi kushika nafasi yake.
Akiwa na Chelsea, kocha huyo alishinda ubingwa wa ligi kuu ya England mara tatu, mbili katika awamu yake ya kwanza kati ya mwaka 2004 na 2007.
Jiunge na...
9 years ago
StarTV18 Dec
Klabu Ya Chelsea Yamfuta kazi kocha Jose Mourinho.
Bodi ya klabu ya Chelsea The Blues ya England hatimaye imefikia uamauzi wa kumfuta kazi kocha Jose Mourinho chini ya mmiliki wake Roman Abramovic kufuatia matokeo mabaya kwenye ligi kuu ya England ikiwa katika nafasi ya 16 ya msimamo wa ligi hiyo.
Klabu hiyo bado haijatangaza rasmi lakini tayari bodi imepeana mkono wa kwaheri ikiwa ni miezi saba tangu alipoiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa wa EPL msimu uliopita.
Kipigo cha jumatatu wiki hii dhidi ya Leicester City cha mabao 2-1...
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Wachezaji watano ambao kama Jose Mourinho atakuwa kocha wa Man United watapenda kuondoka …
Headlines za Jose Mourinho kuhusishwa kukaribia kujiunga na klabu ya Manchester United bado zinazidi kushika kasi sehemu mbalimblia, kwa wapenzi na mashabiki wa soka duniani kote kwa sasa vijiwe vyao mara nyingi mada kuu ni Louis van Gaal na Jose Mourinho. December 25 Mtu wangu wa nguvu nimekutana na list kutoka sokka.com ya wachezaji watano wa […]
The post Wachezaji watano ambao kama Jose Mourinho atakuwa kocha wa Man United watapenda kuondoka … appeared first on...
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Utani wa mashabiki baada ya Jose Mourinho kufukuzwa kazi Chelsea…(Video)
Jana uongozi wa klabu ya Chelsea ulimtimua kazi kocha wao Jose Mourinho baada ya timu yao kuendelea kupata matokeo mabaya katika mechi zake za ligi kuu. Licha ya kikosi hicho kuonekana bora na kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu uliopita, imeonekana kushindwa kwenda na ushindani wa timu pinzani msimu huu. Huu ndio utani niliokutana nao […]
The post Utani wa mashabiki baada ya Jose Mourinho kufukuzwa kazi Chelsea…(Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eoZ5qo4qa6pEoU2cJ1I0*xH4AZuFrGkKpMD8PBUMovJBHuzRqtxat4RsuWcENGsbGSf6gWnPQ8yD5hTzcCDHiF2wnDzLwvlO/url.jpg?width=650)
JOSE MOURINHO HAKUNAGA