Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kilimani yafanya mabadiliko makubwa

KLABU ya soka ya Kilimani City imefanya mabadiliko katika maeneo matatu ya timu hiyo ikiwa na lengo la kuweka maboresho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

YANGA YAFANYA MABADILIKO YA KATIBA YAO

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga SC, Yusuf Manji akiwasili eneo la mkutano katika Ukumbi wa Police Officer's Mess, Oysterbay jijini Dar. Manji akihojiwa na wanahabari.…

 

9 years ago

Raia Mwema

Mabadiliko makubwa

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litafanyia mabadiliko makubwa sheria za utumishi wa umma

Waandishi Wetu

 

11 years ago

Michuzi

MANISPAA YA KINONDONI YAFANYA MAKUBWA UTEKELEZAJI ILANI YA CCM JIMBO LA KAWE

 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, wakiwa kwenye Jengo la mapokezi ya wagonjwa (OPD) ambalo linajengwa katika eneo la Mabwepande, likiwa ni sehemu ya Hospitali ya Jimbo la Kawe katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, walipotembelea kiradi mbalimbali ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2010-2015 katika jimbo la Kawe. Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yussuf Mwenda, akizungumza na watumishi wa Manispaa hiyo yeye na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mabadiliko makubwa Maliasili na Utalii

>Serikali imefanya mabadiliko makubwa ya wakurugenzi wanane wa Wizara ya Maliasili na Utalii akiwamo aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Wanyamapori, Paul Sarakikya ambaye amehamishiwa Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (Tawiri).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga mabadiliko makubwa Simba

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic ‘Loga,’ juzi usiku alifanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, ikiwemo kuwaondoa kabisa kwenye kikosi cha kwanza, kipa namba moja Ivo...

 

11 years ago

Habarileo

Mabadiliko makubwa sekta ya maji

KUANZIA Juni mwaka huu hadi mwishoni mwa mwaka 2015 serikali imedhamiria kufanya mabadiliko makubwa ya kupeleka maji katika maeneo mengi vijijini.

 

10 years ago

Habarileo

Mabadiliko makubwa sekta ya uchukuzi

Meneja wa Mradi mpya wa Mfumo wa Kielektroniki wa Kuboresha Utoaji wa Mizigo Bandarini, Phares MagesaMOJA ya sekta ambazo Serikali ya Awamu ya Nne inatarajiwa kujivunia nayo, ni mabadiliko katika sekta ya uchukuzi, ambayo ina mchango mkubwa katika uchumi wa nchi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Champagne ahaidi mabadiliko makubwa FIFA

Mgombea wa kiti cha urais wa shirikisho wa FIFA Jerome Champagne apendekeza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa kutoa kadi ya chungwa

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nchi inataka mabadiliko makubwa sasa!

RAIS wangu, sauti zinasikia kutoka kila kona ya nchi yetu, wananchi wanataka Tanzania waitakayo! Ni Tanzania ipi hiyo? Tuliyomo siyo Tanzania waitakayo. Wanadai mabadiliko sisi tungali uongozini. Je, tumewakinai na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani