Nchi inataka mabadiliko makubwa sasa!
RAIS wangu, sauti zinasikia kutoka kila kona ya nchi yetu, wananchi wanataka Tanzania waitakayo! Ni Tanzania ipi hiyo? Tuliyomo siyo Tanzania waitakayo. Wanadai mabadiliko sisi tungali uongozini. Je, tumewakinai na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboTANZANIA INATAKA MABADILIKO UCHAGUZI 2015
Na Emmanuel Muganda, Washington, DCTanzania itafanya uchaguzi mkuu wa rais na bunge mwaka ujao 2015. Huu utakuwa uchaguzi wenye changamoto kubwa kwa...
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
Matokeo makubwa sasa bila maandalizi makubwa
ILI kupata matokeo yoyote makubwa na mazuri katika jambo lolote, lazima uwe umefanya maandalizi makubwa kabla. Hii ndiyo hali halisi ukiachilia mbali miujiza ya Mwenyezi Mungu anayeweza kufanya chochote. Tanzania...
10 years ago
Dewji Blog05 Aug
Nchi wahisani watoa dola za Marekani milioni 802.15 kukabili mabadiliko ya tabia nchi
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Tausi Kida akimkaribisha ofisini kwake Mwakilishi wa mtandao wa FANPRAN, Sithembile Ndema kwa ajili ya kusaini kitabu cha wageni kabla ya kuelekea kwenye ukumbi wa mikutano.(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Na Mwandishi wetu
JUMLA ya dola za Marekani milioni 802.15 zimetolewa na nchi wahisani katika kusaidia mapambano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi katika kipindi cha miaka miaka mine iliyopita.
Hayo...
9 years ago
Raia Mwema25 Nov
Mabadiliko makubwa
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania litafanyia mabadiliko makubwa sheria za utumishi wa umma
Waandishi Wetu
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-iO_IHWeO_Vg/VIdabmUrnGI/AAAAAAAG2Qw/yZxc0WlCpIU/s72-c/unnamed%2B(21).jpg)
ufunguzi wa mkutano wa 20 wa nchi wanachama wa mkataba wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya tabia nchi nchini peru
![](http://1.bp.blogspot.com/-iO_IHWeO_Vg/VIdabmUrnGI/AAAAAAAG2Qw/yZxc0WlCpIU/s1600/unnamed%2B(21).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-J_tAh0X--fw/VIdabrDJPlI/AAAAAAAG2Q0/lol9Gagkkco/s1600/unnamed%2B(22).jpg)
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
Loga mabadiliko makubwa Simba
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic ‘Loga,’ juzi usiku alifanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, ikiwemo kuwaondoa kabisa kwenye kikosi cha kwanza, kipa namba moja Ivo...
9 years ago
Habarileo30 Aug
Kilimani yafanya mabadiliko makubwa
KLABU ya soka ya Kilimani City imefanya mabadiliko katika maeneo matatu ya timu hiyo ikiwa na lengo la kuweka maboresho.
10 years ago
Habarileo28 Dec
Mabadiliko makubwa sekta ya uchukuzi
MOJA ya sekta ambazo Serikali ya Awamu ya Nne inatarajiwa kujivunia nayo, ni mabadiliko katika sekta ya uchukuzi, ambayo ina mchango mkubwa katika uchumi wa nchi.
11 years ago
Habarileo15 Apr
Mabadiliko makubwa sekta ya maji
KUANZIA Juni mwaka huu hadi mwishoni mwa mwaka 2015 serikali imedhamiria kufanya mabadiliko makubwa ya kupeleka maji katika maeneo mengi vijijini.