Kimbunga chaangusha miti Ufilipino
Kimbunga Hagupit kinaeleka eneo la kaskazini Magharibi mwa ufilipino kikiwa na upepo unaovuma kwa kasi ya kilomita 200 kwa saa.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili24 Aug
Kimbunga chaua Ufilipino
Waokoaji Kaskazini mwa Ufilipino wanachimbua ardhini kwa lengo kutafuta mamia ya wachimba madini, baada ya kukumbwa na kimbunga.
9 years ago
BBCSwahili18 Oct
Kimbunga Koppu, chaikumba Ufilipino
Kimbunga kikali kiitwacho, Koppu kimeikumba Ufilipino na kusababisha mvua kubwa,huku upepo ukienda kwa kasi ya kilomita 200 kwa saa.
10 years ago
BBCSwahili10 May
Kimbunga Noul kupiga Ufilipino kaskazini
Wakazi wa kaskazini mwa Ufilipino wanajiandaa kuwasili kwa kimbunga ambacho kimesababisha kufutiliwa mbali kwa safari za ndege na usafiri wa baharini.
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AONGOZA UPANDAJI MITI MABWEPANDE KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA KUPANDA MITI
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki akipanda mti kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mji Mpya iliyopo Mabwepande nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam kwenye kilelele cha maadhimisho ya upandaji miti yaliyofanyika kimkoa wilayani Kinondoni leo. Wa tatu kulia anayeshuhudia upandaji miti huo ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yusuf Mwenda akipanda mti katika maadhimisho hayo. Mratibu wa mazingira kutoka Taasisi ya EBPA, Charles Lugenga (kushoto),...
10 years ago
MichuziMKOA WA KAGERA WAADHIMISHA SIKU YA KUPANDA MITI KITAIFA WILAYANI ‘MISSENYI MISITU NI MALI PANDA MITI'
Aprili Mosi kila mwaka huwa ni siku ya kupanda miti kitaifa na mwaka huu 2015 mkoa wa Kagera ulipewa heshima ya kuadhimisha siku hiyo ambapo iliadhimishwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi na kushirikisha wadau mbalimbali pamoja na wananchi wanaojihusisha na kupanda miti na kutunza misitu.
Maadhimisho hayo yaliyoongozwa na mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Celestine Gesimba kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo maadhimisho hayo yalianzia katika Kijiji cha Bugolola eneo la...
Maadhimisho hayo yaliyoongozwa na mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Celestine Gesimba kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo maadhimisho hayo yalianzia katika Kijiji cha Bugolola eneo la...
5 years ago
MichuziTFS YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI MITI KITAIFA KWA KUGAWA BURE MICHE YA MITI KWA WAKAZI WA DAR
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
KATIKA kuepuka mikusanyiko kama sehemu ya kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19(Corona) , Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)umeamua kuadhimisha kilele cha siku ya upandaji miti kitaifa kwa kugawa miche ya miti kwa wananchi.
TFS imegawa miche hiyo ya miti ya aina mbalimbali leo Aprili 1, mwaka 2020 jijini Dar es Salaam huku ikitoa rai kwa wananchi wa Dar es Salaam,Tanga na Pwani kutumia kipindi hiki cha mvua za masika kupanda miti kwa...
KATIKA kuepuka mikusanyiko kama sehemu ya kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19(Corona) , Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)umeamua kuadhimisha kilele cha siku ya upandaji miti kitaifa kwa kugawa miche ya miti kwa wananchi.
TFS imegawa miche hiyo ya miti ya aina mbalimbali leo Aprili 1, mwaka 2020 jijini Dar es Salaam huku ikitoa rai kwa wananchi wa Dar es Salaam,Tanga na Pwani kutumia kipindi hiki cha mvua za masika kupanda miti kwa...
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Angel Locsin: Mrembo mkali zaidi nchini Ufilipino
Ucheshi na ukarimu ni sifa za msingi walizonazo watu wa Ufilipino. Lakini kingine cha ziada walichojaaliwa watu wa taifa hili, ni uwepo wa warembo wenye kuvutia.
9 years ago
VijimamboRais Kikwete apokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Ufilipino nchini Tanzania mwenye makazi nchini Kenya, Mhe. Bayani V. Mangibin. Hafla hiyo imefanyika Ikulu Dar es Salaam tarehe 28 Oktoba, 2015. Balozi Mangibin akizaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam Balozi Mangibin (kulia) akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberatta...
10 years ago
Bongo521 Oct
Picha: Bondia Manny Pacquiao akicheza ligi ya mpira wa kikapu Ufilipino
Bondia Manny Pacquiao aliweka gloves pembeni na kuonesha kipaji chake kingine na kuishangaza dunia kwa kucheza mpira wa kikapu Jumapili iliyopita ikiwa imebaki kama mwezi mmoja kabla hajapanda ulingoni kutetea mkanda wa WBO. Pacquiao aliichezea KIA Sorento inayoshiriki ligi ya kikapu nchini Ufilipo. Pacquiao mwenye umri wa miaka 35 alicheza kwa dakika saba, na kuisaidia […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania