Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana aahidi kupigania Manyoni kugawanywa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kitahakikisha kuwa Wilaya ya Manyoni inagawanywa kuwa wilaya mbili ili kusogeza huduma mbalimbali za kijamii karibu zaidi na wananchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Kinana afanya makubwa Manyoni, azindua nyumba ya kisasa ya mfugaji aliyezinduka kwa sera za CCM

1. Kinana akihutibia mkutano wa hadhara Manyoni Mjini

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana, Mei 20, 2014, kwenye Viwanja vya Stendi mjini Manyoni, akiwa katika siku yake ya pili ya ziara ya siku nane mkoani Singida, kwa lengo la kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi huku akijadiliana nao njia ya kuzitatua mkoani humo.

2. Nape akihutubia Manyoni Mjini

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia kwenye mkutano huo.

2b. Wananchi mkutano wa hadhara Manyoni Mjini

Wananchi wakishangilia kwenye mkutano huo.

3.

Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Manyoni kuondoa ombaomba kandokando ya barabara kuu ya Dodoma-Manyoni

DSC07183

Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, Bi Fatma Hassani Toufiq katika moja ya shughuli za kujenga taifa mkoani Singida.(Picha na Jumbe Ismailly).

Na Jumbe Ismailly,Manyoni        

MAKAZI ya walemavu na wasiojiweza ya Sukamahela,wilayani Manyoni,Mkoani Singida yalianzishwa mwaka 1974 katika Kijiji cha Sukamahela,kata na tarafa ya Kilimatinde chini ya Idara ya Ustawi wa jamii kwa dhamana ya serikali.

Makazi hayo yaliyoanzishwa mwaka 1974 yalikuwa na walemavu 148 wakiwemo wanaume 57,wanawake  51,watoto wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana aahidi kusaidia wakulima Mponde

>Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameahidi kulitafutia ufumbuzi tatizo la wakulima wa chai katika Jimbo la Bumbuli ndani ya mwezi mmoja ujao.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana atembelea alikozaliwa, aahidi kutatua kero ya ardhi

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman KinanaKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amefika katika kijiji alichozaliwa na kusoma elimu ya msingi cha Mbughuni wilayani Arumeru mkoani Arusha na kuahidi kusaidia kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.

 

10 years ago

Dewji Blog

KINANA aahidi CCM kushinda kwa kishindo uchaguzi mkuu Zanzibar 2015

01

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyeka majani mbele ya Chuo cha Sayansi ya Bahari (IMS), alipotembelea chuo hicho kilicho chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam eneo la Buyu, Unguja Zanzibar jana wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi ili zipatiwe ufumbuzi. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

Kinana akikagua jengo jipya la Chuo cha...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AAHIDI KUFIKISHA MGOGORO WA UJENZI MJI WA KISASA KIGAMBONI KATIOKA VIKAO VYA NGAZI ZA JUU CCM

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana, Machi 26, mwaka huu, katika eneo la Kigamboni, wilayani Temeke akiwa katika ziara yake mkoani Dar es Salaam, kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia ya kuzitatua na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama. 

   Akizungumza na wananchi wa Kigamboni, Ndugu Kinana ameahidi kulichukua suala linaloonekana kuzua mgogoro mkubwa baina ya wananchi na serikali la ujenzi wa mji wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Ndugulile afurahia Kigamboni kugawanywa

MBUNGE wa Kigamboni, Dk. Faustine Ndugulile, amesema uamuzi wa Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Temeke kuridhia kuligawanya jimbo lake utakuwa na manufaa kwa maendeleo ya wakazi wake. Alisema ukubwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani