Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kinana awasili Misungwi

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na Diwani ya Kata ya Kalebezo ,Sengerema Ndugu Joseph Yaledi muda mfupi kabla ya kupanda kivuko kuelekea wilaya ya Misungwi.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (aliyeweka mikono mifukoni) akipanda kivuko cha Misungwi kuelekea wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa kwenye kivuko cha Misungwi pamoja Mbunge wa Sengerema Wiliam Ngeleja (kushoto) na Diwani wa Kalebezo Ndugu Joseph...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KINANA WILAYA YA MISUNGWI



 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa kata ya Misungwi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Amani ikiwa muendelezo wa ziara za kukagua,kuhimiza na kusukuma utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM.
 Umati wa wakazi wa Misungwi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia kwenye uwanja wa Amani.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Misungwi ambapo aliwaambia hakuna namna CCM...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AANZA ZIARA MISUNGWI LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakipanda Kivuko cha Mv Misungwi, kutoka Feri ya Kigongo wilayani Sengerema kwenda Kivuko cha Usagara kwenda  jimbo la Misungwi kuendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika mkoa wa Mwaza leo. Katibu kuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akionyeshana miamba ya mawe katika ziwa Vicoria wakati wakiwa kwenye kivuko mv Misungwi, wakati wakienda jimbo la Misungwi leo.
 Miamba ya...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA NA UJUMBE WAKE AANZA ZIARA NDANI YA JIMBO LA MISUNGWI AKITOKEA SENGEREMA MKOANI MWANZA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana na Msafara wake wakiingia kwenye kivuko cha Mv Misungwi katika feri ya Busisi mara baada ya kumaliza ziara yake wilaya ya Sengerema mapema leo asubuhi kuelekea wilaya ya Misungwi tayari kwa kuendelea na ziara yake ndani ya jiji la Mwanza Mbunge wa Jimbo la Sengerema,Mh.William Ngeleja (wa pili kulia) kwa pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana wakitazama kivuko cha Mv Sengerema iliyokuwa ikielekea katika feri ya Kigongo walipokuwa ndani ya Mv...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AMALIZA ZIARA YAKE JIMBO LA MISUNGWI,KESHO KUVAMIA JIMBO LA KWIMBA MKOANI MWANZA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa pili kushoto), akishiriki kupalilia katika shamba la dengu la mwanakijiji cha Manawa, Kata ya Misasi, Luhoyo Mwilima (Wanne kulia), akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM na Uhai wa Chama katika jimbo la Misungwi mkoani Mwanza, leo.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana,Leo aliendelea na ziara yake katika jimbo la Misungwi linaloongozwa na Mh. Charles Kitwanga ambaye pia ni naibu Waziri wa Nishati na Madini akitembelea maeneo...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AWASILI TANGA MJINI

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivuka na kivuko cha MV.Pangani kuelekea Wilaya ya Tanga mjini ambapo anatazamiwa kukagua miradi mbali mbali na kushiriki ujenzi wa maendeleo,wengine pichani ni Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Pangani Ndugu Hamis Mnegero.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa Pangani baada ya kuvuka na MV.Pangani
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AWASILI WILAYA YA KYERWA, ATAKA MIRADI YA MAENDELEO ISIMAMIWE NA HALMASHAURI SIYO SERIKALI.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitembelea shamba la ndizi na kahawa la  mkulima wa Kahawa na Ndizi Ndugu Eustace Kubalienda Kishunji katika kijiji cha Mabila,wilayani Kyerwa mkoani KageraKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa mkulima wa Kahawa na Ndizi Ndugu Eustace Kubalienda Kishunji ambaye ni mmiliki wa shamba la Ndizi,, Amesema shamba hilo  lina  miche 345 ambayo huvuna magunia 25 na ana shamba la migomba ambalo humpatia mavuno ya  mikungu...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYA YA KALIUA,AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

 Katibu MKuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM,Wilaya ya Kaliua,katika ukumbi wa Millenium mkoani Tabora mara baada ya kupokea taarifa mbalimbali za maendeleo ya miradi na hali ya kisiasa wilayani Kaliua. Kinana yupo mkoani Tabora kwa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani