Kinana: Lowassa safi, Nyalandu anazurura
>Jana ilikuwa siku ya hisia tofauti kwa watu wawili wanaotajwa kwenye kinyang’anyiro cha urais, Edward Lowassa na Lazaro Nyalandu baada ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kumsifu mmojawao na kumponda mwingine.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://1.bp.blogspot.com/-g6ZKH7jRsoY/VS_laVSN71I/AAAAAAAACGs/OYDZ2q6pA2Q/s72-c/waziri_nyalandu.jpg)
Nyalandu atekeleza maagizo ya Kinana
NA MWANDISHI WETU, MBARALI
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amemaliza mgogoro wa ardhi uliokuwa ukifukuta kwa zaidi ya miaka saba kati ya wananchi wa vijijii 21 na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA).
Nyalandu, ambaye yuko ziarani mjini hapa, jana aliwaeleza wananchi kuwa serikali haiwezi kuwaacha wananchi wake wakanyanyasika hivyo ni lazima ichukue hatua.
Uamuzi huo wa serikali wa kumaliza mgogoro huo, ni utekelezaji wa maagizo ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kuitaka...
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Nyalandu ampiga kijembe Kinana
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu jana alionekana kumpiga kijembe Katibu MKuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana aliposema kuwa sasa atakuwa anazurura angani.
Nyalandu alitoa kauli hiyo Dar es Salaam alipozindua ndege nyepesi (Micro-Light, 5H – Hel), ambayo itatumika kupambana na ujangili katika Hifadhi ya Taifa ya Selous.
“Karibuni wote, leo tunazururia hapa uwanja wa ndege na ninazindua ndege hii nyepesi ambayo imetengenezwa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-E7F4kRMiW2I/U0AVIj_fnHI/AAAAAAACeL8/LdMkIhFlqFA/s72-c/IMG_3498.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AKAGUA MIRADI YA MAJI TAKA NA MAJI SAFI WILAYANI SUMBAWANGA MKOANI RUKWA LEO.
![](http://4.bp.blogspot.com/-E7F4kRMiW2I/U0AVIj_fnHI/AAAAAAACeL8/LdMkIhFlqFA/s1600/IMG_3498.jpg)
10 years ago
Raia Tanzania16 Jul
Lowassa, Kinana walikimbia jiji
SIKU tatu baada ya mchakato wa kumpata mgombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumalizika mjini Dodoma, viongozi wa juu na wagombea urais kadhaa ndani ya chama hicho wameondoka jijini Dar es Salaam.
Mgombea aliyetikisa mchakato huo, Edward Lowassa, yupo kijijini kwake Ngarash wilayani Monduli huku Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana naye akiripotiwa kuwa jijini Arusha.
Taarifa zinasema kwamba viongozi hao wapo mkoani Arusha kwa ajili ya kujiandikisha katika Daftari la...
9 years ago
TheCitizen08 Oct
Lowassa was never appointed to run: Kinana
10 years ago
Mtanzania14 Mar
Kinana ammwagia sifa Lowassa
Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amemmwagia sifa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kuwa ni miongoni mwa viongozi waliotekeleza kikamilifu ilani ya chama hicho.
Kinana ambaye yupo mkoani Arusha kwa ziara ya chama hicho ya siku tisa, aliyasema hayo yeye na msafara wake alipopokewa katika Kata ya Makuyuni Wilaya ya Monduli.
“Napenda kumpongeza mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu mstaafu kwa kazi kubwa ya maendeleo aliyoifanya katika jimbo...
9 years ago
Habarileo12 Dec
Kinana amvaa Lowassa Arusha
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amemjibu aliyekuwa mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa, aliyedai kuwa kazi nzuri anazofanya Rais John Magufuli, ni utekelezaji wa sera za vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Mar
Kinana Katibu Mkuu wa aina yake-Lowassa
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, amesema uongozi wa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, ni wa aina yake na ambao haujapata kutokea.
Alisema kasi hiyo haijawahi kutokea kwa makatibu wakuu waliopita na hivyo kummwagia sifa Kinana kwa kazi nzuri anayoifanya ya kukitumia Chama.
Lowassa alisema hayo juzi alipokuwa akitoa salamu za jimbo hilo mara baada ya kuwasili kwa Kinana na ujumbe wake katika Kijiji cha Oloksale.
Alisema endapo wabunge wote wa CCM wangetekeleza Ilani ya Chama hakungekuwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-xGXm-t8Pkjc/VaGl3UUIXmI/AAAAAAAAwjc/c8hNbAvGOro/s72-c/DSC_0119.jpg)
Kinana Apata Wasaa Wa Kuongea Na Lowassa. Hivi Ndivyo ilivyokuwa
![](http://3.bp.blogspot.com/-xGXm-t8Pkjc/VaGl3UUIXmI/AAAAAAAAwjc/c8hNbAvGOro/s640/DSC_0119.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-2SjFP9yJ1Ho/VaGl9ORO2JI/AAAAAAAAwjk/HPe5LiYLPoM/s640/DSC_0120.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-S_PeD_AEWoY/VaGmJKh1OlI/AAAAAAAAwjs/cnhuCQT8tJE/s640/DSC_0123.jpg)