Nyalandu atekeleza maagizo ya Kinana
![](http://1.bp.blogspot.com/-g6ZKH7jRsoY/VS_laVSN71I/AAAAAAAACGs/OYDZ2q6pA2Q/s72-c/waziri_nyalandu.jpg)
NA MWANDISHI WETU, MBARALI
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amemaliza mgogoro wa ardhi uliokuwa ukifukuta kwa zaidi ya miaka saba kati ya wananchi wa vijijii 21 na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA).
Nyalandu, ambaye yuko ziarani mjini hapa, jana aliwaeleza wananchi kuwa serikali haiwezi kuwaacha wananchi wake wakanyanyasika hivyo ni lazima ichukue hatua.
Uamuzi huo wa serikali wa kumaliza mgogoro huo, ni utekelezaji wa maagizo ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, kuitaka...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania18 Mar
Nyalandu ampiga kijembe Kinana
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu jana alionekana kumpiga kijembe Katibu MKuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana aliposema kuwa sasa atakuwa anazurura angani.
Nyalandu alitoa kauli hiyo Dar es Salaam alipozindua ndege nyepesi (Micro-Light, 5H – Hel), ambayo itatumika kupambana na ujangili katika Hifadhi ya Taifa ya Selous.
“Karibuni wote, leo tunazururia hapa uwanja wa ndege na ninazindua ndege hii nyepesi ambayo imetengenezwa...
10 years ago
Mwananchi14 Mar
Kinana: Lowassa safi, Nyalandu anazurura
11 years ago
Mwananchi18 Jan
CAG atekeleza agizo la Zitto
10 years ago
Habarileo18 May
RC Dar atekeleza agizo la Rais Kikwete
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki kwa kushirikiana na uongozi wa Manispaa ya Kinondoni, ameanza kutekeleza agizo lililotolewa na Rais Jakaya Kikwete la kuondoa maji katika makazi ya watu kwenye maeneo mbalimbali ya Manispaa hiyo yaliyosababishwa na mvua zilizokuwa zikinyesha jijini hivi karibuni.
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Diwani Nanyaro atekeleza ahadi ya mlo shuleni
DIWANI wa Levelosi, jijini Arusha, Ephata Nanyaro, (CHADEMA), ametoa msaada wa unga wa mahindi na sukari vyenye thamani ya zaidi ya sh 750,000 kwenye Shule ya Msingi Levelosi ili kuwawezesha...
10 years ago
Dewji Blog06 Jul
Meya Jerry Slaa atekeleza ahadi alizozitoa jimbo la Ukonga
Diwani wa kata ya Gongo la Mboto na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Slaa akiwasili mkutanoni kwa ajili ya kuwahutubia wananchi katika uwanja wa shule ya msingi kitunda mwishoni mwa wiki ambapo alieleza mafanikio yaliyopatikana wakati wa kipindi chake cha uongozi na kukamilisha ahadi mbalimbali alizokuwa amezitoa.
Baadhi ya madiwani na viongozi wa CCM kata ya Ukonga wakiwa katika picha ya pamoja na Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa muda mfupi baadaya kuhutubia mkuatano wa hadhara...
5 years ago
CCM Blog16 Feb
RAIS WA SUDAN KUSINI ATEKELEZA TAKWA LA UPINZANI, APUNGUZA IDADI YA MAJIMBO
![Rais wa Sudan Kusini atekeleza takwa la upinzani, apunguza idadi ya majimbo](https://media.parstoday.com/image/4bsof1e02e4df41k1yw_800C450.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zvxMwCoWaapx54NxPQFHkQeEtLqT1l1iWVzS3onup1dIXCwef-NO*UEKCFKdBS-vY44*XZ7d*hy05S0o5yy*GwXHBho5*JyP/s1.jpg?width=650)
MEYA JERRY SLAA ATEKELEZA AHADI ZKE, ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA
5 years ago
MichuziRAIS JPM ATEKELEZA AHADI YA KUJENGA DARAJA LA MTO SIBITI MKOANI SINGIDA ALILOAHIDI MWAKA 2015
Na Jumbe Ismailly- MKALAMA
WANANCHI wa Kata ya Msingi,pamoja na vijiji vinavyozunguka kata hiyo wilayani Mkalama,Mkoani Singida wataondokana na adha ya kutokwenda kwenye huduma za afya,elimu pamoja na kusafiri kwenda kwenye masoko ya mazao wanayozalisha mara baada ya kukamilika kwa ujenzi wa daraja la mto Msingi.
Ujenzi wa daraja hilo ulioanza kujengwa juni,11,mwaka jana kwa mkataba wa miezi 24 ni utekelezaji wa ahadi aliyotoa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Pombe Magufuli...