Kipindupindu chaibukia Gerezani… wawili wamekwishafariki!
Mahabusu wawili wa Gereza la Wilaya ya Musoma mkoani Mara, wamefariki dunia baada ya kukumbwa na ugonjwa wa kipindupindu
Mkuu wa gereza hilo, Shaku Humba alisema kuwa wafungwa saba na mahabusu watano walioripotiwa kuugua ugonjwa huo.
Hata hivyo hakuwataja majina marehemu hao akisema kuwa hana mamlaka kisheria hadi hapo taratibu zitakapokamilika.
Mganga Mkuu wa Manispaa ya Musoma, Dk Honorata Rutatenisigwa alisema mahabusu wanaogua ugonjwa huo wamelazwa katika kambi ya gereza hilo.
Dk...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania04 Nov
Kipindupindu chaua wawili Dodoma
WATU wawili wamefariki dunia na wengine zaidi ya 120 wamelazwa katika vituo vya kutolea huduma ya kwanza katika wilaya tano za Mkoa wa Dodoma kutokana na ugonjwa wa kipindupindu.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa jana, Ofisa Afya wa Mkoa wa Dodoma, Edward Ganja alisema watu wawili wamefariki dunia kutokana na ugonjwa huo katika Wilaya ya Kongwa.
Ugonjwa wa kipindupindu umeripotiwa kuingia mkoani hapa tangu Septemba mwaka huu katika wilaya za Kongwa, Chamwino, Bahi, Manispaa ya...
9 years ago
StarTV21 Nov
Watu wawili wafariki mkoani Kagera kwa Ugonjwa Wa Kipindupindu
Mganga mkuu wa mkoa wa Kagera Dokta Thomas Rutachunzibwa amethibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili kutokana na ugonjwa wa kipindupindu mkoani humo.
Aidha Mganga huyo amesema hadi hivi sasa jumla ya wagonjwa kumi na wawili waliokutwa na vimelea vya ugonjwa huo,wanaendelea na matibabu katika kambi maalum iliyopo katika hospitali ya Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera.
Baada ya kuzuka kwa ugonjwa wa kutapika na kuharisha na kuthibitika kuwa si kipindupindu sasa imebainika wazi kuwa wagonjwa...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/EDr-zswlq3NMnQSprXKg5ZmNuVFoQ1GtwqRNcNBKwO6Bg0r3ozs1oJugc8Hj3gEsYXUFosej**e9i-iaXpLKkBbsYwj*EINj/150000080.jpg)
SIASA ZA KEJELIâ€, ‬MATUSI TUTAISHIA GEREZANIâ€!‬
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PflB1vDnTuc/VnjzLG10PHI/AAAAAAAINzM/06Q-IcujenE/s72-c/USAFI.jpg)
MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu Watanzania kwa kuugua Kipindupindu
Kipindupindu ni ugonjwa wa kuharisha na kutapika unaosababishwa na vimelea vya bacteria vinavyoitwa kwa lugha ya kitaalam “vibro cholera”. Chanzo cha kikubwa cha ugonjwa huu huletwa na vimelea vilivyomo kwenye kinyesi na matapishi ya mgonjwa wa kipindupindu.
Kwa miaka mingi sasa wananchi wa Tanzania tumekumbwa na magonjwa ya aina mbalimbali ya mlipuko ukiwemo ugonjwa wa kipindupindu ambao umeenea kwa kasi kubwa sana kutokana na kuwepo kwa mazingira hatarishi...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Cligph6jib0/VDzQz8fMwXI/AAAAAAAGqbM/8Vi_SHP7uwM/s72-c/unnamed%2B(10).jpg)
ajali yaua watu wawili na kujeruhi wawili mkoani lindi
![](http://4.bp.blogspot.com/-Cligph6jib0/VDzQz8fMwXI/AAAAAAAGqbM/8Vi_SHP7uwM/s1600/unnamed%2B(10).jpg)
Kamanda Mzinga aliwataja waliokufa...
10 years ago
Bongo Movies04 Dec
DUNIANI WAWILI WAWILI:Huyu Hapa Hana Hata Undugu na Wema Sepetu
Ule usemi wa duniani watu wawili wawili umedhiiika kwa muigizaji wa bongo movies,Wema Sepetu.Je hii ni kweli?.Hebu kutana na huyu mwanadada anaetumiajina la TUERNY kwenye mtandao wa INSTAGRAM.Kizuri zaidi wema mwenye anamfahamu hii nikutokana na moja kati ya marafiki wa Wema Ku-comment kwenye picha ya dada huyu akidai kuwa dada huyu anafanana na Wema na dadae Wema Ku-reply kwa kuonyesha kuwa anamfahamu na anamuita mke mweza.....Hebuzicheki picha zake hizi na kisha useme kama kunaumuhimu wa...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/070615_cholera_THUMB_LARGE.jpg?width=650)
UGONJWA WA KIPINDUPINDU
9 years ago
Mtanzania22 Aug
100 waugua kipindupindu
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
IDADI ya wagonjwa wa kipindupindu katika Mkoa wa Dar es Salaam imeongezeka kutoka 56 hadi 86.
Idara ya Kinga katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii pia ilisema jana kuwa, kuna wagonjwa 14 wa kipindupindu katika Mkoa wa Morogoro.
Mtaalamu wa Ufuatiliaji wa Magonjwa ya Mlipuko katika idara hiyo, Elibariki Mwakapeje, alitoa takwimu hizo jijini Dar es Salaam wakati wa semina ya siku moja kuwaelimisha waandishi wa habari kuhusu ugonjwa huo.
“Tunahitaji...
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
Kipindupindu chapungua DAR
Moja ya kambi ya wagonjwa wa Kipindupindu jijini Dar.
Na Jacquiline Mrisho- Maelezo
Idadi ya wagonjwa wa kipindupindu jijini Dar es salaam imepungua kufikia wagonjwa kumi na mbili (12) kwa mkoa mzima, huku wilaya ya Temeke ikiwa na wagonjwa saba,Kinondoni wagonjwa wanne na Ilala ikiwa na mgonjwa mmoja
Haya yamezungumzwa na Mratibu wa Magonjwa ya kuambukiza wa Jiji la Dar es salaam Bw. Alex Mkamba ofisini kwake jana akielezea jinsi gani mkoa umefanikisha kupambana na kipindupindu kwa...