Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIASA ZA KEJELI‭, ‬MATUSI TUTAISHIA GEREZANI‭!‬

KWENU Watanzania wenzangu. Bila shaka kila mmoja kwa sasa anaendelea na majukumu yake huku siasa ikiwa imetawala kila sehemu. Kuanzia maofisini, vijiweni, kwenye usafiri wa umma, baa, vyuoni na kila sehemu ambayo inakuwa na mkusanyiko. Mkitaka kujua afya yangu, mimi ni mzima wa afya. Namshukuru Mungu naendelea vizuri na majukumu yangu ya kila siku likiwemo hili la kuwaandikia barua watu mbalimbali maarufu na wasio maarufu.Leo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mh. Pindi Chana azindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb) akizundua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni na wanaofanya shughuli zao katika sekta zisizo rasmi. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Belinda Jijini Dar es salaam tarehe 27 Februari 2015. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana akizungumza mara baada ya kuzindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la...

 

9 years ago

Global Publishers

Kipindupindu chaibukia Gerezani… wawili wamekwishafariki!

shutterstock_121491385Mahabusu wawili wa Gereza la Wilaya ya Musoma mkoani Mara, wamefariki dunia baada ya kukumbwa na ugonjwa wa kipindupindu Mkuu wa gereza hilo, Shaku Humba alisema kuwa wafungwa saba na mahabusu watano walioripotiwa kuugua ugonjwa huo. Hata hivyo hakuwataja majina marehemu hao akisema kuwa hana mamlaka kisheria hadi hapo taratibu zitakapokamilika. Mganga Mkuu wa Manispaa ya Musoma, Dk Honorata Rutatenisigwa alisema mahabusu wanaogua ugonjwa huo wamelazwa katika kambi ya gereza hilo. Dk...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tusipowekeza katika michezo, tutaishia kuwa wasindikizaji

MASHINDANO ya Umoja wa Michezo wa Shule za Sekondari Tanzania (UMISETA) ya mwaka huu, yalifikia tamati mwishoni mwa wiki mjini Kibaha, Mkoani Pwani. Katika mashindano hayo, kanda ya mashariki imeibuka...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Siasa sio mchezo mchafu bali CCM ndiyo yenye siasa chafu

SIASA safi ni kitu chema na siasa ni maisha na naamini Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai atakubaliana na mimi asilimia mia kwa hili na kama si kweli hapana shaka...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matusi bungeni yamuibua JK

RAIS Jakaya Kikwete amekemea vitendo vya wajumbe wa Bunge la Katiba kuwatusi waasisi wa taifa hili na kusema huo ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu. Katika mazungumzo yake...

 

11 years ago

GPL

AMANDA AMWAGIWA MATUSI FACEBOOK

Stori:Gladness Mallya
MWANADADA anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa matusi na mdada wa mjini aliyejulikana kwa jina la Jesca kisa kikidaiwa ni baada ya kutangaza kuwa, yeye na mume wake wa zamani, Hamis Bwela bado ni damudamu. Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’. Akizungumza hivi karibuni na Ijumaa, Amanda...

 

9 years ago

GPL

KISA LOWASSA AOGA MATUSI

Erick Evarist MTOTO mzuri Bongo Movies, Jacqueline Wolper, amejikuta akiambulia matusi mazito kutoka kwa staa mwenzake Isabela Mpanda kisa kikiwa ni kuonesha mapenzi yake kwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa..  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1MHM6gb

 

11 years ago

Mwananchi

Siku 67 za mipasho, matusi bungeni

Bunge Maalumu la Katiba linaahirishwa leo baada ya kukutana kwa siku 67 bila kupitisha hata ibara moja kati ya 240 zilizomo katika Rasimu ya Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani