Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KISA LOWASSA AOGA MATUSI

Erick Evarist MTOTO mzuri Bongo Movies, Jacqueline Wolper, amejikuta akiambulia matusi mazito kutoka kwa staa mwenzake Isabela Mpanda kisa kikiwa ni kuonesha mapenzi yake kwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa..  ....Soma zaidi====>http://bit.ly/1MHM6gb

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Kisa Lowassa, Wolper Aoga Matusi

MTOTO mzuri Bongo Movies, Jacqueline Wolper, amejikuta akiambulia matusi mazito kutoka kwa staa mwenzake Isabela Mpanda kisa kikiwa ni kuonesha mapenzi yake kwa mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa.

Isabela aliamua kumtusi staa huyo akidai anamshanga kujinadi kila siku katika mtandao wa Instagram kuwa ni mfuasi wa Lowassa wakati amelelewa na Chama cha Mapinduzi (CCM).

Kupitia mtandao huo wa Istagram, Isabela aliamua kumtolea uvivu Wolper hadharani...

 

11 years ago

GPL

NISHA AMWAGIWA MATUSI YA NGUONI KISA, MWANAUME

Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ Matusi! Staa wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kutukanwa matusi ya nguoni na mwanadada anayejulikana kwa jina la Muna Alphonce kisa, kikidaiwa ni mwanaume. Habari ya mjini ilieleza kwamba Muna ambaye ni mke wa mtu aliporomosha matusi ya nguoni ambayo hayaandikiki gazetini huku akimtoa kasoro mbalimbali Nisha na...

 

10 years ago

Vijimambo

MENGI Atukanwa kisa kurusha vipindi vya LOWASA..Anaka anaye mtumia SMS Za matusi


Baada ya ITV kurusha matangazo ya moja kwa moja siku ndugu Lowassa alipotangaza nia, Mzee Mengi amelalamika kupitia ukurasa wake wa twitter kuwa wapo watu walimtukana sana, haswa mtu mmoja ambaye namba yake kaiweka hadharani.Kwanini Mengi atukanwe? Mbona ni vituo vingi vilikuwa Live? Mbona hata watangaza nia kama Wassira na Mwigulu ITV walirusha Live?

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Pindi Chana azindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana (Mb) akizundua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la kuondoa lugha chafu na matusi kwa wanawake wa sokoni na wanaofanya shughuli zao katika sekta zisizo rasmi. Uzinduzi huo umefanyika katika ukumbi wa Belinda Jijini Dar es salaam tarehe 27 Februari 2015. Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Dkt. Pindi Chana akizungumza mara baada ya kuzindua kampeni ya Mpe riziki si matusi yenye lengo la...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matusi bungeni yamuibua JK

RAIS Jakaya Kikwete amekemea vitendo vya wajumbe wa Bunge la Katiba kuwatusi waasisi wa taifa hili na kusema huo ni utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu. Katika mazungumzo yake...

 

11 years ago

GPL

AMANDA AMWAGIWA MATUSI FACEBOOK

Stori:Gladness Mallya
MWANADADA anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa matusi na mdada wa mjini aliyejulikana kwa jina la Jesca kisa kikidaiwa ni baada ya kutangaza kuwa, yeye na mume wake wa zamani, Hamis Bwela bado ni damudamu. Staa wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’. Akizungumza hivi karibuni na Ijumaa, Amanda...

 

11 years ago

Mwananchi

Matusi, vijembe, vyatawala Bunge

Bunge Maalumu la Katiba limeendelea kutawaliwa na vijembe na mipasho, huku baadhi ya wajumbe wakitambiana kujua misemo, mbinu na nahau na kuacha kujadili mambo ya msingi.

 

11 years ago

Mwananchi

Siku 67 za mipasho, matusi bungeni

Bunge Maalumu la Katiba linaahirishwa leo baada ya kukutana kwa siku 67 bila kupitisha hata ibara moja kati ya 240 zilizomo katika Rasimu ya Katiba.

 

10 years ago

Vijimambo

Sitta apokea meseji za matusi

Dodoma. Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta amesema anapokea meseji za simu zaidi ya 50 kwa siku za kumtukana na kusisitiza ataendelea kupambana kuhakikisha Katiba inayopendekezwa inapatikana.Sitta alitoa kauli hiyo bungeni mjini Dodoma jana wakati akielezea kutoridhishwa kwake na kile alichodai ni namna hukumu ya kesi iliyofunguliwa na Saed Kubenea inavyopotoshwa na wanaomchukia.“Kuna baadhi ya vyombo vya habari wananichukia mimi binafsi. Wasichanganye chuki hizo na mchakato wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani